Hivi maex huwa wanaachana?

Hivi maex huwa wanaachana?

Kama hawezi kukuacha bas huyo jamaa ni kenge blue, umempa nini mbona unajiamini sana! Ww ujiangalie Sana!
 
Hakika wanawake hamnaga msimamo.mtaka vyote hukosa vyote.
Huwa nawacheki wakwe wanavopangaga mahali ndefu kumbe binti yao kapigwa miti balaa mtu unazoa kombo.
Ila chagua mmoja dada yangu uwe huru na penzi.
 
Acha kutumia moyo kufanya maamuzi utakupa hasara kubwa nakwambia tumia akili kufanya maamuzi yalo sahihi hilo ni zaidi ya balaa
 
Bas huyo jamaa ni mgeni wa mapenzi, lait ungenipata mkongwe kama Mimi ningekunjosha vzr sana hadi ungenikubali! Mimi sio mtu wa mchezo mchezo!
 
Back
Top Bottom