Hivi maex huwa wanaachana?

Hivi maex huwa wanaachana?

Naomba jamaa yako auonapo ujumbe huu atimue mbio speed 360 cz humfai kabisa, mwanamke asie na msimamo ni balaa and umeonyesha hilo, na hao marafiki zako na wewe kiujumla kudadadeki sijui niwagroup wapi, umefeli sana mkuu usipoangalia utakuja kukumbia msemo wa USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO .
Aya sasa hyo juu intro ushauri ndo huu, ogopa mwanaume anaejiproud tena mbele zako kuwa wengine wa kupita tu atakupa tabu sana, be serious with your love life, know what you want and see if you have it or not, kaa mbali na ex wako this is coming from a man whose done that and thats me Mr. KAABAD
 
Ukikua ukijitambua ukielewa unahitaji nini kwenye maisha mapenzi ya namna hii utayaona utoto,by the way maan ya x ni expire unakuwaje na matamanio na kilicho chacha
 
Sasa naelewa kwanini wazungu waliwaita waafrika"CHEAP LABOURS"
you are very cheap
...yeah huyu mwanamke ni cheap hasa,..halafu kamkuta mwanaume boys...basi maisha yao yatakuwa vururuvururu
 
Nyambafuuuu! Olewa naye ila huyo x wako ataendelea kujipigia tu, natamani nimfahamu huyo jamaa ambaye yupo series na ww nimwambie juu ya hili! Achague moja kusuka au anyoe!
 
Naomba jamaa yako auonapo ujumbe huu atimue mbio speed 360 cz humfai kabisa, mwanamke asie na msimamo ni balaa and umeonyesha hilo, na hao marafiki zako na wewe kiujumla kudadadeki sijui niwagroup wapi, umefeli sana mkuu usipoangalia utakuja kukumbia msemo wa USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO .
Aya sasa hyo juu intro ushauri ndo huu, ogopa mwanaume anaejiproud tena mbele zako kuwa wengine wa kupita tu atakupa tabu sana, be serious with your love life, know what you want and see if you have it or not, kaa mbali na ex wako this is coming from a man whose done that and thats me Mr. KAABAD
Jamen waliniwekea mtego
Ok nimeelewa
 
Acha ujinga wewe .We unadhani Watu wetu wakisoma hapa Si watajua wadada wote tuna akili mbuzi kama zako.
Acha kutuharibia wenzako .Unafanya kitu kibaya sana. We ni MTU mzima unajifanya hujui baya ufanyalo. Inaumiza sana
Poa yameisha
 
Back
Top Bottom