Yaishe ila akinamama hamjui kutumia vyema mitandao! Tusimlaumu muna loveUnafukua makaburi...pengine alikasirika akajibu hivyo...je kama amebadilika hayupo hivyo sasa...
Yaishe...turudi kwa mada
Yaishe ila akinamama hamjui kutumia vyema mitandao! Tusimlaumu muna loveUnafukua makaburi...pengine alikasirika akajibu hivyo...je kama amebadilika hayupo hivyo sasa...
Yaishe...turudi kwa mada
Thanks shukran for your insightKama Kaka Yenu Mkubwa, Ambaye Mambo Haya Nimeyaona na Kuyapractice kwa Zaidi ya Miaka 25 Sasa,
Kwenye Mapenzi Hakuna Kuachana ile Moja kwa Moja, tena hasa kama mmeshiriki Ngono.. lile tendo huwafanya ninyi kubadilishana Nguvu fulani na roho fulani (nzuri/mbaya).. hii inamuathiri zaidi mtoto wa Kike.. kwa Maana hiyo hata akiachana na Mwanamume wake.. ataachana tu na kuwa na mwanaume mwingine na kujitahidi kumpenda zaidi huyo mwingine.. lakini akiwa anamkumbuka ex wake kwa kiasi Fulani.
Hivyo ni Rahisi sana kwa Mwanamke kumrudia Ex wake.. Hawaachanagi Moja kwa Moja labda iwe Mwanaume Hamtaki Kabisa!
Your Lovely Brother!
Mkuu una experience kubwa sana, miaka 25 ni umri wa mtu. Hebu tupe Cv yako katika hili mkuuKama Kaka Yenu Mkubwa, Ambaye Mambo Haya Nimeyaona na Kuyapractice kwa Zaidi ya Miaka 25 Sasa,
Kwenye Mapenzi Hakuna Kuachana ile Moja kwa Moja, tena hasa kama mmeshiriki Ngono.. lile tendo huwafanya ninyi kubadilishana Nguvu fulani na roho fulani (nzuri/mbaya).. hii inamuathiri zaidi mtoto wa Kike.. kwa Maana hiyo hata akiachana na Mwanamume wake.. ataachana tu na kuwa na mwanaume mwingine na kujitahidi kumpenda zaidi huyo mwingine.. lakini akiwa anamkumbuka ex wake kwa kiasi Fulani.
Hivyo ni Rahisi sana kwa Mwanamke kumrudia Ex wake.. Hawaachanagi Moja kwa Moja labda iwe Mwanaume Hamtaki Kabisa!
Your Lovely Brother!

Asemaje wakati namkwepa?
Namwogopa mwanaume wangu yes na nampenda,sitak ajue yaliyojiri
Najua maamuz yake
Ex naye anataka ajulikane
Pesa zimempa kiburi
Asemaje wakati namkwepa?
Namwogopa mwanaume wangu yes na nampenda,sitak ajue yaliyojiri
Najua maamuz yake
Ex naye anataka ajulikane
Pesa zimempa kiburi
Yaani tatzo hp ni pesa na cheo tu hakuna kingine ex anamzidi mbali sana mr wko ndio maana ana nyanyasika!No sema the guy is very arrogant
Na sahivi ana cheo na hela imekuwa too much
Yaani kama Ulikuwa na mpenzi mkaachana au akakuacha kamwe usimrudie. Kuwa Na akili yako .Anza upya .usiangalie nyuma.Kaja kukuumiza zaidi.Kimbiaa mbio.Hao ndo waharibifu tu wa akina Dada .Kama huyo anaharibikiwa bila kujijua maskini apoteze mchumba wa kweliKaja kukurarua tu na kukuzeesha ilazimishe akili yako kutulia na mista wako
Ukiendekeza nyege mshindo utasanda sana
Mimi niki honga ata 50k naisi nta kufa automaticallySiku nikihonga laki kwa demu niueni
Nishachukua tenda mkuuSiku nikihonga laki kwa demu niueni
Anasema eti wanapendana na ni first wakeYaani kama Ulikuwa na mpenzi mkaachana au akakuacha kamwe usimrudie. Kuwa Na akili yako .Anza upya .usiangalie nyuma.Kaja kukuumiza zaidi.Kimbiaa mbio.Hao ndo waharibifu tu wa akina Dada .Kama huyo anaharibikiwa bila kujijua maskini apoteze mchumba wa kweli

Mm n bahiri wa kwanza duniani kuwah kutokea...laki kisa nyuchi hpn,bora nioe tu ielewekeMkuu kwanini 😛 😛
Pumbafuuuuu. Utakuja jutaaa hayaa jifanye mwehu.Wanaume unawasikia wewe .Mshikilie mwanaume wa Kweli huyo why alikuacha kama anakupenda natamani nikuzabe Libao 1 uzinduke labda wamekumunalove100Sasa nafanyaje?namkwepaje huyu mtu?
My man is very serious about me
Akisikia haya sijui hata nitamjibu nini