Hivi maex huwa wanaachana?

Hivi maex huwa wanaachana?

Ingekua ni jumatano ungekua ni ex wangu, maana nlimsindikiza hadi pale gerezani stand ya mwendokasi... akafuatwa na bwana ake. Btw, maisha ni yako kula uliwe utamu ukolee, kama ex kaikoleza mpeee kama huna future na mshkaji wako, kama una malengo na mshkaji ex mpotezee
No ni ijumaa hii
Usimwache gal wako
Naona aibu hata kuongea na Mr
Hata akipiga simu sipokei
 
The iron batterfly naomba ruhusa nitoe angalizo. Vitu vingine tuwe tunajaribu kutovitoa katika hadhara. Kwangu ulijijengea heshima na kuonekana kama mtu anayejielewa katika ule uzi wa Moshi! Kwa uzi huu, sijui.
Ahhh achana na ishu za moshi
Mimi ni binti na kutumika kawaida sana
Ntaleta episode ya arusha usijal
Kwa mwanamke kutumika kawaida sana
 
Yes they did that to me
Kwan niliwasiliana nao kabla nikawaambia
Nitafika na shemu wao
Kumbe washampanga
Pole mama...jitahidi uwe msiri kwa mambo yako kwa marafiki...yote wamefanya kwakuwa walikujua kiundani...wasingejua wasingekufanyia kitu
 
Hawaachani bali hua wanatafutwa, kwani wewe hujasoma zile hesabu za “Find X”?
 
mi sijaachana na ex yoyote saiv nna enjoy mafao yangu mana nawatia wote mafao matamu sana wekezeni wakuu msisahau kutafuta hela tu wanawake ni uwekezaji wa hasara
 
Back
Top Bottom