Hivi maex huwa wanaachana?

Hivi maex huwa wanaachana?

Asemaje wakati namkwepa?
Namwogopa mwanaume wangu yes na nampenda,sitak ajue yaliyojiri
Najua maamuz yake
Ex naye anataka ajulikane
Pesa zimempa kiburi
wewe unahadaika kiurahisi sana na pesa, na ungekuwa unampenda huyo mwanaume wako usingemsaliti hivyo, usituongopee hapa
 
....mimi siku zote ninamwambia mama watt wangu kuwa,_mtu wa muhimu kwangu ni MTT/watt wangu..wewe ni rafiki anytime naweza kukutema.
...huu upuuzi wako ndio unaonipelekea kuwa na misimamo mikali kuhusu wanawake...., wewe utakuwa umeshamsoma huyo mwanaume wako wa sasa kuwa ni kilaza wa Udom ndio maana unamfanyia hayo maroroso na ma,x wako....MTU wa aina yangu usingethubu kamwe
 
Habari za jion wana jamii forum.

Basi siku ya ijumaa bwana nilitoka kazini mapema, niliaga naenda kufanya kazi za nje kumbe nina miadi ya mupenzi.
Imefika saa 6 mchana nikaondoka kazini,tukakutana sehemu,haooo hadi maeneo flani tukafanya yetu.By saa mbili usiku tukaamua tutoke tupite sehemu tupate supu kidogo kabla ya kuagana.
Tumefika pale tukawakuta na mashost zangu,tukala,story mbili tatu, then mista akanambia babe tuondoke.Nikamjibu mbona bado mapema,kama pameanza kuhappen vile; basi akaniachia laki 1 akanambia enjoy na wenzio ila usichelewe kurudi kwako.Nikamjibu ok.Akaondoka kwani alikuwa kachoka so he needed to rest.

Bwana weeh kumbe ile sehemu alikuwepo ex wangu,ila sikumwona.Sema yeye aliniona na mtu so akachil.Mashost zangu kumbe walijua yupo ila hawakunambia.Alivoona babe wangu kaondoka ,akahama meza akaja meza yetu.Lahaula nikabak mdomo wazi tu.Akajisogeza akakaa karibu nami,akaanza agiza vinywaji kwa fujo huku akinambia watakuja wengi sana ila yeye ndo mmiliki.Mashost wakawa wanasapot tu.Mwisho wa siku tuliondoka wote.

Tucut the long story short, hivi maex huwa hawaachani?Manake naona aibu hata kupokea simu za mupenzi since jmos.Niko very serious naye,sema naona kama na huyu ex kama anakuja kasi sana.Nahisi hata ataweza niharibia kwa my man.Nifanyeje niepuke huu msala?
Just ask your heart,kwani maamuzi uyafanyayo hutoka moyoni mwako.
NAJIBU SWALI LAKO ma EX huwa hawaachani labda muwe mmegombana tena kutishiana vifo lakini bila hivyo miaka 800 hamuwezi achana
 
Kama Kaka Yenu Mkubwa, Ambaye Mambo Haya Nimeyaona na Kuyapractice kwa Zaidi ya Miaka 25 Sasa,

Kwenye Mapenzi Hakuna Kuachana ile Moja kwa Moja, tena hasa kama mmeshiriki Ngono.. lile tendo huwafanya ninyi kubadilishana Nguvu fulani na roho fulani (nzuri/mbaya).. hii inamuathiri zaidi mtoto wa Kike.. kwa Maana hiyo hata akiachana na Mwanamume wake.. ataachana tu na kuwa na mwanaume mwingine na kujitahidi kumpenda zaidi huyo mwingine.. lakini akiwa anamkumbuka ex wake kwa kiasi Fulani.

Hivyo ni Rahisi sana kwa Mwanamke kumrudia Ex wake.. Hawaachanagi Moja kwa Moja labda iwe Mwanaume Hamtaki Kabisa!

Your Lovely Brother!
 
....mimi siku zote ninamwambia mama watt wangu kuwa,_mtu wa muhimu kwangu ni MTT/watt wangu..wewe ni rafiki anytime naweza kukutema.
...huu upuuzi wako ndio unaonipelekea kuwa na misimamo mikali kuhusu wanawake...., wewe utakuwa umeshamsoma huyo mwanaume wako wa sasa kuwa ni kilaza wa Udom ndio maana unamfanyia hayo maroroso na ma,x wako....MTU wa aina yangu usingethubu kamwe
Heeh yashakuwa hayo?
Nisingempenda wala nisingekuja huku kupata msaada
 
Ok nashoboka kweli
Si wajua nimekulia kaskazin
Nipe mbinu basi nilimalize hili
Hyo usimkwepe kwa kua umesema ana hela ana vyeo mpe mama mpeeeeee afukueeeee mpaka kwann anyimwe na ana hela zke? tafadhal nakuomba samaki huliwa pande mbili mpeeeeee!
 
No ni ijumaa hii
Usimwache gal wako
Naona aibu hata kuongea na Mr
Hata akipiga simu sipokei
Sasa hupokei simu kwa nini? Kwan ana jua? Mbona una taka umtengenezee was was ambao utafanya aanze kuku chunguza mwisho wa siku abaini maovu yako
 
Back
Top Bottom