Hivi maex huwa wanaachana?

Hivi maex huwa wanaachana?

Umeniudhi sana japo simfahamu huyo man wako, bado una tabia za kitoto sana hata tukushauri usimpe lazima utampa tu maana kwa kusoma saikolojia ya maandishi yako inaonekana wewe si mchoyo kwa wanaume wanaojiweza kiuchumi.

Fuata ulichoamua kufanya japo ujue Mungu hakukuumba uzini
 
Habari za jion wana jamii forum.

Basi siku ya ijumaa bwana nilitoka kazini mapema, niliaga naenda kufanya kazi za nje kumbe nina miadi ya mupenzi.
Imefika saa 6 mchana nikaondoka kazini,tukakutana sehemu,haooo hadi maeneo flani tukafanya yetu.By saa mbili usiku tukaamua tutoke tupite sehemu tupate supu kidogo kabla ya kuagana.
Tumefika pale tukawakuta na mashost zangu,tukala,story mbili tatu, then mista akanambia babe tuondoke.Nikamjibu mbona bado mapema,kama pameanza kuhappen vile; basi akaniachia laki 1 akanambia enjoy na wenzio ila usichelewe kurudi kwako.Nikamjibu ok.Akaondoka kwani alikuwa kachoka so he needed to rest.

Bwana weeh kumbe ile sehemu alikuwepo ex wangu,ila sikumwona.Sema yeye aliniona na mtu so akachil.Mashost zangu kumbe walijua yupo ila hawakunambia.Alivoona babe wangu kaondoka ,akahama meza akaja meza yetu.Lahaula nikabak mdomo wazi tu.Akajisogeza akakaa karibu nami,akaanza agiza vinywaji kwa fujo huku akinambia watakuja wengi sana ila yeye ndo mmiliki.Mashost wakawa wanasapot tu.Mwisho wa siku tuliondoka wote.

Tucut the long story short, hivi maex huwa hawaachani?Manake naona aibu hata kupokea simu za mupenzi since jmos.Niko very serious naye,sema naona kama na huyu ex kama anakuja kasi sana.Nahisi hata ataweza niharibia kwa my man.Nifanyeje niepuke huu msala?
oh pasua kichwaaaaaaa
 
ndio maana huwa nasema wanawake wengi waliolimbukia mapenzi wanaakili mbovu kuliko hata malaya wanaojiuza.
 
To my man though najua si mpenzi wa JF, am really sorry
They set me up
Isitoshe hukupaswa kuniacha pale alone
Am sorry nimeteleza and I will try isijirudie coz najua,ukijua hutanidhuru but muhusika atapata madhara and I don't want that .
Katubu mama i feel u na Usirudie tena tafuta marafiki wenye chalenge za kwenda mbele na sio hao watakurudisha nyuma watakuset sana
 
To my man though najua si mpenzi wa JF, am really sorry
They set me up
Isitoshe hukupaswa kuniacha pale alone
Am sorry nimeteleza and I will try isijirudie coz najua,ukijua hutanidhuru but muhusika atapata madhara and I don't want that .

Possible alikuacha hapo naye alikuwa anaenda kuonana na mchepuko.

Ila unaonekana mtamu sana kutafuna wewe.

Hebu ni PM nikushauri kitu kizuri sana.
 
Habari za jion wana jamii forum.

Basi siku ya ijumaa bwana nilitoka kazini mapema, niliaga naenda kufanya kazi za nje kumbe nina miadi ya mupenzi.
Imefika saa 6 mchana nikaondoka kazini,tukakutana sehemu,haooo hadi maeneo flani tukafanya yetu.By saa mbili usiku tukaamua tutoke tupite sehemu tupate supu kidogo kabla ya kuagana.
Tumefika pale tukawakuta na mashost zangu,tukala,story mbili tatu, then mista akanambia babe tuondoke.Nikamjibu mbona bado mapema,kama pameanza kuhappen vile; basi akaniachia laki 1 akanambia enjoy na wenzio ila usichelewe kurudi kwako.Nikamjibu ok.Akaondoka kwani alikuwa kachoka so he needed to rest.

Bwana weeh kumbe ile sehemu alikuwepo ex wangu,ila sikumwona.Sema yeye aliniona na mtu so akachil.Mashost zangu kumbe walijua yupo ila hawakunambia.Alivoona babe wangu kaondoka ,akahama meza akaja meza yetu.Lahaula nikabak mdomo wazi tu.Akajisogeza akakaa karibu nami,akaanza agiza vinywaji kwa fujo huku akinambia watakuja wengi sana ila yeye ndo mmiliki.Mashost wakawa wanasapot tu.Mwisho wa siku tuliondoka wote.

Tucut the long story short, hivi maex huwa hawaachani?Manake naona aibu hata kupokea simu za mupenzi since jmos.Niko very serious naye,sema naona kama na huyu ex kama anakuja kasi sana.Nahisi hata ataweza niharibia kwa my man.Nifanyeje niepuke huu msala?

this is entirely up to you young lady. You can choose to be firm and tell him exactly what it is. Mpotezee huyo, alafu ndivo inavokuwaga, ukishapata mtu serious kuna vijishetani flani vinarudi speed 180km/hr!

Don't even blame mwenzako kuwa hakutakiwa kukuacha pale, wewe ni mtu mzima and the fact that alikuacha ina maanisha anakuamini kufanya maamuzi yako wewe kama wewe, labda kama ulikuwa umelewa. Hao marafiki nao sio wazuri. Tisa, kumi, kila kitu ni wewe, take accountability, jiulize....you did it coz it made you feel.....you move on because you want.....ivo. huyo ex ulimuacha for a reason...y'all stay in your lanes unless you want it to be otherwise.
 
The iron batterfly naomba ruhusa nitoe angalizo. Vitu vingine tuwe tunajaribu kutovitoa katika hadhara. Kwangu ulijijengea heshima na kuonekana kama mtu anayejielewa katika ule uzi wa Moshi! Kwa uzi huu, sijui.

Daaaah kumbe tuko wengi

Kwanza nilikuwa sijui kama ni mwanaume au mwanamke

Pili nilikuwa namuheshimu sana mana ni mtu wa nyumbani nikupendapo

Kumbe ni mtu wa simama twende duuuh
 
Hahahah sina bana
Sema ananifoc
Na hataki kushindwa kapata jeuri ya pesa
Na hapo mashost zako ndio wamemwambia aje hapo ,kuzeeshwa unazeeshwa wewe mashost wanakula pesa ya jamaa yani wanawake urafiki wenu wakinafki sana yani hao kama wanakuuza kwa X wako. Maana hapo washapiga mpunga kwakumletea jamaa nyama na watakwambia umgande X ili wao wapige pesa
 
Rudi kausome vizuri ule uzi
Hakuna sehemu nilisema mimi ni mwanaume
Ama mnadhan wanawake wote wanaandika kama kina wolper?sorry to disappoint you
am a woman And very proud of it
Tupo type za kina rose migiro,ana tibaijuka,condoleezer rice ,dambisa moyo etc humu JF
Sorry to burts your buble
Hi hi hi hi my foot uwe kama akina condoleza,mama migiro takataka wewe hi hi hi maharage ya mbeya.
 
Sio kila Ex akirudi kwako anamaanisha ukute jamaa anataka Kumuonesha huyo Boyfrnd wako mpya Namna gani Hunaa msimamo na hujielewi maana Ex wako ukute bado anakupenda so anataka kukuharibia tu...!! Play smart otherwise utapasha kiporoo umpoteze hata huyo uliekuwa nae...Na kaa ukijuaa MTU akishakuwa Ex wako atakuwa hivyo milele hata mkirudiana hakuna Jipyaa hapoo na wewe ndio utaishia kuumia... Amerudi kumuonesha Jamaa akoo namna Gani ulivyomjinga...!
 
Back
Top Bottom