Naomba UnitafuteMmmh nakataa,tukiachana ndo yameisha kabisa umwa kufa zikwa sihitaji kujua wala kuudhuria..
AminaAmen Nishakuombea toka jana kama una imani jiandae kufunguliwa
Ok notedhiyo ni pata potea ndugu
jiulize uliachana nae kwa sababu gani ndio utapata majibu, haiwezekani watu mmeachana kwa magomvi labda ya kumfumania halafu sasa hivi umwone malaika
Ok will try thatJaribu bahati yako kwa kumwambia unaolewa hivi karibuni na ikibidi vaa pete ya kuzuga kwamba tayali mambo yapo moto uone msimamo wake
Nia hapa ni kwamba inaonekana bado anakukubali sana na kwakuwa umri unasogea lazima ifike pahala muoane muanze maisha mmeshabunyana sana inatosha tualikeni tuje tule pilau sasa
Nadhani umenisoma ukiona bado haeleweki piga chini mazima hata kama anauume una sukari jikaze uachane nae
Hamna hata mbinu,mtu akikutunuku anatoa tu,simple like thatWaulize mademu wa chuo(waliowahi kusoma chuo Kama mtoa mada).Wanatumia mbinu gani.
Sawaaa nimekusomaKuwa makini sana kama huwezi kujipanga mwenyewe na kuchukua maamuzi sahihi utapangwa.
Siwezi jibu hiliKwa hiyo alikugonga?
Ok noted with thanksWanaachana kama mwanamke ataamua.
Naelewa sanaUmeniudhi sana japo simfahamu huyo man wako, bado una tabia za kitoto sana hata tukushauri usimpe lazima utampa tu maana kwa kusoma saikolojia ya maandishi yako inaonekana wewe si mchoyo kwa wanaume wanaojiweza kiuchumi.
Fuata ulichoamua kufanya japo ujue Mungu hakukuumba uzini
Kipusaaaoh pasua kichwaaaaaaa
Ahahahah duhHahahahaha dah!
Sawa usiye mzinzi nisameheUkweli gani mzinzi wewe?
Exactlyndio maana huwa nasema wanawake wengi waliolimbukia mapenzi wanaakili mbovu kuliko hata malaya wanaojiuza.
Ok nimekupataKatubu mama i feel u na Usirudie tena tafuta marafiki wenye chalenge za kwenda mbele na sio hao watakurudisha nyuma watakuset sana
Hahaha possible aseehPossible alikuacha hapo naye alikuwa anaenda kuonana na mchepuko.
Ila unaonekana mtamu sana kutafuna wewe.
Hebu ni PM nikushauri kitu kizuri sana.
Noted with thanksthis is entirely up to you young lady. You can choose to be firm and tell him exactly what it is. Mpotezee huyo, alafu ndivo inavokuwaga, ukishapata mtu serious kuna vijishetani flani vinarudi speed 180km/hr!
Don't even blame mwenzako kuwa hakutakiwa kukuacha pale, wewe ni mtu mzima and the fact that alikuacha ina maanisha anakuamini kufanya maamuzi yako wewe kama wewe, labda kama ulikuwa umelewa. Hao marafiki nao sio wazuri. Tisa, kumi, kila kitu ni wewe, take accountability, jiulize....you did it coz it made you feel.....you move on because you want.....ivo. huyo ex ulimuacha for a reason...y'all stay in your lanes unless you want it to be otherwise.
Mie chasaka purely sio mchaga and am proud of thatDaaaah kumbe tuko wengi
Kwanza nilikuwa sijui kama ni mwanaume au mwanamke
Pili nilikuwa namuheshimu sana mana ni mtu wa nyumbani nikupendapo
Kumbe ni mtu wa simama twende duuuh
0764872915Nipe namba yako nikakushauri faragha