Hivi maex huwa wanaachana?

Hivi maex huwa wanaachana?

Na hapo mashost zako ndio wamemwambia aje hapo ,kuzeeshwa unazeeshwa wewe mashost wanakula pesa ya jamaa yani wanawake urafiki wenu wakinafki sana yani hao kama wanakuuza kwa X wako. Maana hapo washapiga mpunga kwakumletea jamaa nyama na watakwambia umgande X ili wao wapige pesa
Possible
 
Sio kila Ex akirudi kwako anamaanisha ukute jamaa anataka Kumuonesha huyo Boyfrnd wako mpya Namna gani Hunaa msimamo na hujielewi maana Ex wako ukute bado anakupenda so anataka kukuharibia tu...!! Play smart otherwise utapasha kiporoo umpoteze hata huyo uliekuwa nae...Na kaa ukijuaa MTU akishakuwa Ex wako atakuwa hivyo milele hata mkirudiana hakuna Jipyaa hapoo na wewe ndio utaishia kuumia... Amerudi kumuonesha Jamaa akoo namna Gani ulivyomjinga...!
May be
 
Sio kila Mwanamke huwa anatumika ,wanaotumuka ni wale wasiokuwa na Malengo wapo wapo tu,Kwa Dunia hii wanawake wanaojitambua vizuri ni wachache sana so hao ndo classic sana
Sawa nimekuelewa
Mie sio classic and I never said am classic
Hizia zenyu tu,haahahah
 
Sawa nimekuelewa
Mie sio classic and I never said am classic
Hizia zenyu tu,haahahah
Jitaidi Mdogo wangu uweclassic leo inawezekana, nikimaanisha kuwa kama yule wa Zamani hakutambua uthamani wako japo ulimpenda jitaidi ukae chini uchambue mbivu na mbichi kwa kuangalia yupi mwenye Upendo wa kweli,sio pesa au muonekano au vyovyote vile tulia tuuuu,tuli napenda sana uwe classic maana inawezekana kwa kuonyesha kuwa wewe ni Strong Women usiyependa ubabaishaji,usipende kutumika sio vizuri haukuumbwa kwa ajili ya kutumika Bali upate Mme sahihi wa Maisha yako Muombe Mungu,Mtangulize Mungu Mbele Maisha yako yatastawi na Daima kuliko kutumika
 
Sawa nimekuelewa mkuu
 
Kwa hiyo uliliwa mara 2 na wanume 2 tofaiti ndani ya saa 24. Haki tena sioi hivi karibuni...........x nikimshtuaga hata haninyimagi ya nini mikiki
 
Back
Top Bottom