Binti kapigwa miti. Mpaka kaisha ladhaHakika wanawake hamnaga msimamo.mtaka vyote hukosa vyote.
Huwa nawacheki wakwe wanavopangaga mahali ndefu kumbe binti yao kapigwa miti balaa mtu unazoa kombo.
Ila chagua mmoja dada yangu uwe huru na penzi.

Rudi kausome vizuri ule uziHivi hukuwahi leta mada ya sijui chuo kikuu stand imefanyaje mara internship na uliashiria kwamba jinsia yako ni ya kiume leo umekua msichana?
Kwahiyo hujutii tena kama ulivyodai hapo awali,maana umekili mwenyewe kuwa ni jambo la kawaida,aisee!Hahahah umekasirika kama muhusika
Kawaida sana
NitabadilikaKweli Pombe si kwa wanawake, Mimi namwonea huruma huyo jamaa yako, wewe najua huwezi badilika
OkUzi huu unaniuma utazan mm ni uyo Mr wako aisee ngoja ninye grass moja ya jack Daniel nilale .Usiku mwema eeh mwanamke usie rizika sorry for that.
Pandisha huo Uzi mkuu tumuhukumuHivi hukuwahi leta mada ya sijui chuo kikuu stand imefanyaje mara internship na uliashiria kwamba jinsia yako ni ya kiume leo umekua msichana?
Kwaio Rose Migiro na hao wengine wote wanakua hawana msimamo na kuyumba yumba baada ya kukutana na huyo jamaa? Which bubble did you burst?Rudi kausome vizuri ule uzi
Hakuna sehemu nilisema mimi ni mwanaume
Ama mnadhan wanawake wote wanaandika kama kina wolper?sorry to disappoint you
am a woman And very proud of it
Tupo type za kina rose migiro,ana tibaijuka,condoleezer rice ,dambisa moyo etc humu JF
Sorry to burts your buble
Sina tamaaHakuna cha ma X wala ma S mtoa mada Una tamaa sugu iliyopitiliza my advice take care bila ya hivyo utapata tabu san
Ngoja niukumbuke unaitwaje ule aiseePandisha huo Uzi mkuu tumuhukumu
Najuta sana tuKwahiyo hujutii tena kama ulivyodai hapo awali,maana umekili mwenyewe kuwa ni jambo la kawaida,aisee!
Malay.a ni malay.a tu.sungura tope hatare!Habari za jion wana jamii forum.
Basi siku ya ijumaa bwana nilitoka kazini mapema, niliaga naenda kufanya kazi za nje kumbe nina miadi ya mupenzi.
Imefika saa 6 mchana nikaondoka kazini,tukakutana sehemu,haooo hadi maeneo flani tukafanya yetu.By saa mbili usiku tukaamua tutoke tupite sehemu tupate supu kidogo kabla ya kuagana.
Tumefika pale tukawakuta na mashost zangu,tukala,story mbili tatu, then mista akanambia babe tuondoke.Nikamjibu mbona bado mapema,kama pameanza kuhappen vile; basi akaniachia laki 1 akanambia enjoy na wenzio ila usichelewe kurudi kwako.Nikamjibu ok.Akaondoka kwani alikuwa kachoka so he needed to rest.
Bwana weeh kumbe ile sehemu alikuwepo ex wangu,ila sikumwona.Sema yeye aliniona na mtu so akachil.Mashost zangu kumbe walijua yupo ila hawakunambia.Alivoona babe wangu kaondoka ,akahama meza akaja meza yetu.Lahaula nikabak mdomo wazi tu.Akajisogeza akakaa karibu nami,akaanza agiza vinywaji kwa fujo huku akinambia watakuja wengi sana ila yeye ndo mmiliki.Mashost wakawa wanasapot tu.Mwisho wa siku tuliondoka wote.
Tucut the long story short, hivi maex huwa hawaachani?Manake naona aibu hata kupokea simu za mupenzi since jmos.Niko very serious naye,sema naona kama na huyu ex kama anakuja kasi sana.Nahisi hata ataweza niharibia kwa my man.Nifanyeje niepuke huu msala?
Umo humu humu pitia utauonaPandisha huo Uzi mkuu tumuhukumu
Hahaha ushauri gani huu sasa?Kama huyo mista wako humpedi mpige chini endelea na huyo ex wako wa sasa hivi. Baada ya muda mista atakuwa ex yan x2 tayari ikishakuwa hivyo mpige chini x1 utafute mista mwingine huku previous mista akibaki kama ex endelea na utaratubu huu hadi utakapo fika miaka 60 .
Situation ya mavyeo ndio iliosababisha kuwa na msimamo binti uweze kuthaminiwa....Sina tamaa
Ni situation ilisababisha
Niliandika my experience baada ya kumaliza chuo,search thatNgoja niukumbuke unaitwaje ule aisee
umesomeka waziiiiiiiiiiOk
But nimesema ukweli to easy the guilty conscious
Nampenda and haitojirudia
It was just wine that day

Unahisi Ni kwanini watu wanareact hivyo kuhusu weweUmo humu humu pitia utauona
Halafu si first time kuandika nyuzi za mapenzi ama life in general
Nashangaa kwann watu wanareact hivi mweehh