Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,235
- 4,382
Nimejeuka kusoma soma Biblia kwa hii miezi michache, kuna jambo kama limeitekenya akili yangu. Kwanza, kwenye agano la kale, waliopewa uongozi wote waliishia kumjengea Bwana Madhabahu. Nuhu, Abrahamu, Daudi etc etc
Na kwenye agano la kale, 'Madhabahu' imetajwa sana. Katika kusoma kwangu, kwenye agano la kale, madhabahu imeonekana kama ni mahali physical ambapo ni maalumu kumtolea Bwana sadaka na kuzungumza naye.
Na ukiendelea kusoma Biblia, kuna mahali inakuambia 'Madhabahu' inazungumza.
Lakini kitu kingine nilichogundua, kuna madhabahu ya utawala wa Bwana na madhabahu ya shetani (hii niliijua baada ya kusoma ufunuo)
Sasa jamani, embu tutete hili suala.
Hivi kwa sasa, unamjengea vipi Bwana madhabahu?
Na madhabahu ni kitu gani haswa, kwa lugha ya picha na kiroho?