Hivi Loliondo iliyouzwa na Mwinyi kwa waarabu isharejeshwa?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema.

Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni?

Je, serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana ulaji hasa baada ya kusikia kuwa viwanja vingi vya uwindaji vinamilikiwa na makampuni ya vigogo ukiachia mbali watu kama Pius Msekwa kuwa na maslahi binafsi kwenye dili hili?
 
Nai hurumia Tanzania aijawai kupata viongozi wanaojali kizazi kijacho labda Nyerere tu wengine wote majambazi
 
Mkuu Father of All bado kabisa tokea imeuzwa haijafikisha miaka 50 na mkataba ni miaka 99 labda tusubiri 2015 CDM watafanyaje kwenye hii mikataba
 
Last edited by a moderator:
Watu wanatamba kwenye utawala wangu nilifanya hiki au kile, kumbe kutamba kwenye kulitokana na kuuza nchi au kipande cha nchi.

Ipo haja mikataba ya namna hii, iwe inapitiwa na wabunge, na wananchi waelewe kinachoendelea
 
Kule ukifika ni dola ya arab hadi simu inakuandikia 'welcome to arab state'
 
waislam wameuziana na waislamu wenzao. Huyu mzanzibari alikuwa na haki ya kuiuza Tanganyika kwani hana uchungu nayo. Let Zanzibar go.

watermark.php
 
Kwani miaka 99 imeisha Mkuu? Mkuu hata Serengeti kuna kipande waliuziwa wazungu wa Singita kwa muda wa miaka 99

Hunting Blocks hazitolewi zaidi ya miaka 5. Msidanganye watu.

ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS WILL NOT BE REPEATED
The Ministry of Natural Resources and Tourism would like to inform the general public that the process for block allocation for the hunting tern of 2013 – 2018 was concluded in September, 2011.

The results were published through mass media in September, 2011. It was reported that, 60 companies were allocated with hunting blocks. Out of those a total of 51 companies were local (85%) and 9 were foreign (15%). The current allocation was done in conformity with the requirements of section 39 (3) (b) of Wildlife Conservation Act No. 5 of 2009.

Soma zaidi: ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS IN TANZANIA
 
Mzee Ruksa aliuza kwa waarabu! mzee Ruksa pia anausika kumkolimba mwandishi wa habari Stanley Katabaro aliyechunguza na kuandika habari ya LOLIONDO GATE.

R.I.P Stanley Katabaro.....shujaa wetu,mzalendo wa kweli
 
Mkuu Father of All bado kabisa tokea imeuzwa haijafikisha miaka 50 na mkataba ni miaka 99 labda tusubiri 2015 CDM watafanyaje kwenye hii mikataba

hii labda labda hii ndiyo inayonifanya nisihelewe hii M4C ya CDM kwa nini sisi tufikirie wenyewe labda watafanya hiki badala ya wenyewe kueleza umma unaotaka mageuzi ya kweli kua watafanya hivi...cdm iko vugu vugu kwenye mageuzi ya kweli
 
Kwa mjibu wa habar nilizonazo pamoja na eye witness, mwarabu bado anamiliki hilo eneo, na yule jamaa hua haui wanyama bali mara nying hukamata wazma na kwenda nao uarabun!......ntakuja na mkasa kamili
 
Kwa wanaokumbuka kashfa iliyotikisa nchi wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi ya Loliondo watakuwa na mengi ya kusema. Je yule mwarabu Brigedia Ali wa falme za kiarabu ndiye huyu huyu aliyesafirisha twiga hivi karibuni? Je serikali ilisharejesha mbuga yetu au wamekuwa wakirithishana ulaji hasa baada ya kusikia kuwa viwanja vingi vya uwindaji vinamilikiwa na makampuni ya vigogo ukiachia mbali watu kama Pius Msekwa kuwa na maslahi binafsi kwenye dili hili?
Si kabla ya miaka 99. Haka kazee kalituibia sana. Jana kalikuwa mahakamani kakitoa ushahidi baada ya kulizwa kodi za nyumba kalizojenga kwa pesa ya wizi. Sijui vizee kama hiki tunavilipa pensheni kwa ujambazi viliotufanyia au kwa lipi!
 
Hunting Blocks hazitolewi zaidi ya miaka 5. Msidanganye watu.

ALLOCATION OF HUNTING BLOCKS WILL NOT BE REPEATED
The Ministry of Natural Resources and Tourism would like to inform the general public that the process for block allocation for the hunting tern of 2013 – 2018 was concluded in September, 2011...
Mkuu Zomba,asante kwa ufafanuzi ndio dawa yao hawa wanafiki wanasahau wao wanavyouza utu wao kwa Sabodo.
 
Kwa mjibu wa habar nilizonazo pamoja na eye witness, mwarabu bado anamiliki hilo eneo, na yule jamaa hua haui wanyama bali mara nying hukamata wazma na kwenda nao uarabun!......ntakuja na mkasa kamili
Kama anamiliki kisheria tatizo liko wapi au kwa kuwa ni mwarabu?

 
Liliondo iliuzwa 1st april fool siku ya wajinga duniani Mzee mwenye Nyumba aliyetaperiwa ndie alitia sahihi siku hiyo...
 
watu wana tamba kwenye utawala wangu nilifanya hiki au kile, kumbe kutamba kwenye kulitokana na kuuza nchi au kipande cha nchi, ipo haja mikataba ya namna hii, iwe ina pitiwa na wabunge, na wananchi waelewe kinachoendelea
Heshima yako Mkuu vipi kesi ako kuna dalili zozote ya kupata pesa yako? maana huyo uliyemshitaki ataishia kuwekwa ndani tu na sio kupata pesa yako vipi biashara zingine au ndio haziendi vizuri?
 
Back
Top Bottom