Hivi Lissu ana dini kweli?

Wewe unauliza kama nani? Mind your own business ya Ngoswe muachia NGOSWE. Mwenye dini huyu hapa.
 
KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA

KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)

WAPINZANI HAMPATI KITU.

KUWENI MAKINI
Hiyo haipo kura zinahesabiwa vituoni otherwise hakuna uchaguzi tarehe 28 tutafanya fujo kweli
 
Tangu Lisu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lisu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.
Barua kutoka serikali ya CHADEMA hiyo apo [emoji1427][emoji1427][emoji1427]
 
Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi

Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=

Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.

Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.

Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.

Haki huinua TAIFA


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ficha ujinga,Nani amewahi kupona risasi 16???
 
Mungu yupi aliyeiondoa Corona ? Kwa sababu kila mtu aliomba kwa mungu wake!
 
Marekani kura wanapigaje? Hujasikia kura za mapema zimepigwa tena kwa posta?

Kwa katiba ya Kenya si rahisi kudanganya kuwa kuna corona wakati haipo. Kenya ipo.
Hiyo ya Marekani ni hivi wako more advanced ndio maana posta.

Sisi kama kweli korona ingekuwepo social distancing. Zipo nchi pamoja na korona wamefanya uchaguzi.
So in short social distance. Narudia HAKUNA ALIEAHIRISHA UCHAGUZI DUMIANI SABABU YA CORONA

Kama mpaka leo huamini kenya uganda Rwanda ilikua ni usanii baasi mkuu umeshinda. Mpaka pesa za corona wamezitafuna wanatafutana kwa tochi. Baada ya kula pesa Uhuru anampigia Magu na sisi tunaomba kama nyie mtusaidie na nyie kuomba. Pathetic.
 
mpaka sasa anaeamini kwamba lissu atakua Rais wa nchii hii,inabidi apimwe akili
 
Wewe ni Mmoja ya Wajinga na Wapumbavu Lissu aliowasema
 
Mbona hao unaowaona we we kuwa wanadini wanatukana matusi tu jukwaani au hao unajifanya huwaoni. Kila MTU ana imani yake we hangaika na yako, wakulima, wafanyabiashara na wafanya kazi pamoja na wahanga wa mikopo loan board kura kwa TAL.
 
Fanya analysis kidogo tu kwa data. Hata hapa Tanzania mwanzoni corona ilikuwepo na both serikali na wapinzani walikuwa wanatoa data za vifo na wagonjwa ila zilikuwa zinatofautiana za wapinzani zilikuwa juu. Ilifikia hatua hata picha za waliokufa kwa corona na hata za madai ya mazishi kufanyika usiku zilitolewa twitter na wapinzani; leo hii huko twtter wapinzani hawatoi data hata za kughushi, maana yake huo ni uthibitiisho corona ilikuwepo na sasa haipo.
 
Kwa hiyo Corona inatibiwa kwa prayers?
 
Umeandika li-waraka lirefu alafu ni pointless tu, sijamaliza hata kulisoma maana hakuna cha maana ulichoandika nimeamua niishie njiani kwa sababu huna hoja ya msingi iliyosimama
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona povu linakutoka kama umemwagiwa manii mkunduni.
Urais siyo ubalozi wa nyumba kumi matako ya mama ako wewe
Wewe unadhani kupata 100 darasani ndiyo kipimo cha akili.
Tafta maarifa usitafte vyeti mbululaa wewe
Mkuu Mr Lyanga hili tusi ulilomtukana mama yake jamaa lifute aisee. Hua natetemeka nikisikia mama yeyote duniani akitukanwa.
Mama yako mama yangu mama yake jamaa mama yake yule ni watu wa muhimu sana katika hii dunia. Hawafai kutukanwa aisee.
Niko chini ya miguu yako nakuomba ulifute hilo.
Hilo la mkund.u wa jamaa liwache tena muongezee na mengine na sisi wababa tutukane tu lakini wamama zetu tuwaache aisee. Please πŸ™
 
Washabiki wa CCM mnaanzisha mada nyingi kuhusu Tundu Lissu kuliko hata watu wa Chadema wenyewe. Hii inaashiria kwamba soon mtakuwa wapinzani.
 
Tundu Lissu ni wa kuonewa huruma. Majanga aliyokutana nayo ni makubwa mno haiwezekani akili ikaweza kubakia salama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…