Huwaonei uchungu wanachadema mpaka unitahadharishe mimi!Shauri yako
Huwaonei uchungu wanachadema mpaka unitahadharishe mimi!Shauri yako
Huwaonei uchungu wanachadema mpaka unitahadharishe mimi!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na hana muda wa kuhangaika na wajinga.
“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”
Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.
View attachment 1611348
Hiyo haipo kura zinahesabiwa vituoni otherwise hakuna uchaguzi tarehe 28 tutafanya fujo kweliKURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA
KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)
WAPINZANI HAMPATI KITU.
KUWENI MAKINI
Jaribu na mimi nakungoja kwa hamu kubwa.Hiyo haipo kura zinahesabiwa vituoni otherwise hakuna uchaguzi tarehe 28 tutafanya fujo kweli
Magufuli ni mkristo ,Mkatoliki kanisani anaenda kufanya ni nini na damu za watu aliso mwaga?
Barua kutoka serikali ya CHADEMA hiyo apo [emoji1427][emoji1427][emoji1427]Tangu Lisu aweke nguvu katika kuwapambania wapenzi wa jinsia mmoja nikajua Lisu anashida kichwani Ila sikutegemea kwamba anaweza kukufuru kwa kiwango hicho.
Ficha ujinga,Nani amewahi kupona risasi 16???yeye na wafuasi wake wote ni wagonjwa wa akili na tuliishakubalina hilo.
anakubali kwamba alipona kwa uwezo wa Mungu baada ya shambulio thidi yake la risasi 18,ila anapinga uwezo wa Mungu juu ya kuponya corona.
na wafuasi wake wanamsikiliza na kushangilia.
Hiyo ya Marekani ni hivi wako more advanced ndio maana posta.Marekani kura wanapigaje? Hujasikia kura za mapema zimepigwa tena kwa posta?
Kwa katiba ya Kenya si rahisi kudanganya kuwa kuna corona wakati haipo. Kenya ipo.
Wewe ni Mmoja ya Wajinga na Wapumbavu Lissu aliowasemaKatika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani na misikitini kuombea corona huku akiwaita ni wajinga.
Lissu ametoa kauli hizo tata zinazozidi kutoa tafakari ya afya yake ya akili akihojiwa na Radio Maisha ambapo amesema Mungu kwamba hawezi kuponya magonjwa na hana muda wa kuhangaika na wajinga.
“Kama alivyosema rais mwenyewe hii kitu dawa yake ni kwenda msikitini na makanisani kuomba Mungu, katika karne ya 21 rais anayesema ana PHD katika Kemia kuamini kwenye mambo kwamba unaweza kutibu ugonjwa kwa maombi ya Mungu,” amesema Lissu.
Mtangazaji wa kipindi hicho alimuuliza Lissu; “Kwa hiyo hujapendezwa kabisa kwa namna rais anavyoshughulika na hii ishu ya covid19 pale nchini?”
Lissu akajibu: “Mungu ana mambo mengi sana hana muda wa kuhangaika na wajinga.”
Kauli hii ya Lissu inaacha maswali kwamba je; ana dini? Kama kweli angekuwa na dini basi angekuwa na hofu ya Mungu.
Lissu anasahau kama ni Mungu amemponya na kumfikisha hapo alipo leo badala yake alianza kutukana watu kama vile haitoshi amehamia kwa muumba na watumishi wa wake.
View attachment 1611348
Fanya analysis kidogo tu kwa data. Hata hapa Tanzania mwanzoni corona ilikuwepo na both serikali na wapinzani walikuwa wanatoa data za vifo na wagonjwa ila zilikuwa zinatofautiana za wapinzani zilikuwa juu. Ilifikia hatua hata picha za waliokufa kwa corona na hata za madai ya mazishi kufanyika usiku zilitolewa twitter na wapinzani; leo hii huko twtter wapinzani hawatoi data hata za kughushi, maana yake huo ni uthibitiisho corona ilikuwepo na sasa haipo.Hiyo ya Marekani ni hivi wako more advanced ndio maana posta.
Sisi kama kweli korona ingekuwepo social distancing. Zipo nchi pamoja na korona wamefanya uchaguzi.
So in short social distance. Narudia HAKUNA ALIEAHIRISHA UCHAGUZI DUMIANI SABABU YA CORONA
Kama mpaka leo huamini kenya uganda Rwanda ilikua ni usanii baasi mkuu umeshinda. Mpaka pesa za corona wamezitafuna wanatafutana kwa tochi. Baada ya kula pesa Uhuru anampigia Magu na sisi tunaomba kama nyie mtusaidie na nyie kuomba. Pathetic.
Kwa hiyo Corona inatibiwa kwa prayers?Fanya analysis kidogo tu kwa data. Hata hapa Tanzania mwanzoni corona ilikuwepo na both serikali na wapinzani walikuwa wanatoa data za vifo na wagonjwa ila zilikuwa zinatofautiana za wapinzani zilikuwa juu. Ilifikia hatua hata picha za waliokufa kwa corona na hata za madai ya mazishi kufanyika usiku zilitolewa twitter na wapinzani; leo hii huko twtter wapinzani hawatoi data hata za kughushi, maana yake huo ni uthibitiisho corona ilikuwepo na sasa haipo.
Umeandika li-waraka lirefu alafu ni pointless tu, sijamaliza hata kulisoma maana hakuna cha maana ulichoandika nimeamua niishie njiani kwa sababu huna hoja ya msingi iliyosimamaWewe akili zako umezipimia wapi mpaka uone wengine hawana akili?
Hicho kipimo kiweke hapa tukione!
Utaona is the matter of your own stupid opinion like the rest of us!
Kwahiyo urais ni wa mwanadamu mmoja tu duniani hapa anaeitwa Magufuli na sio mtu mwingine?
Urais sio ubalozi wa nyumba kumi,true,sasa sijui unasema hivyo sababu kati ya watu milioni 60 nchi hii hakuna mwanadamu anaeweza?Ni mali ya Magufuli pekee yake?Acha utoto.
Unawaza mambo ya mkunduni maana yamekujaa ubongoni na unafanya wewe,ni vizuri ukawa wazi,unachofanya wewe usipende sukumizia wengine...jielezee wewe na your own stupid gay experiences,not others tusiohusika na your shit showing.
Unamtukana mama yangu inaonesha you are a coward,unatukana mtu asiekua hapa kujitetea,nitukane mimi kama mimi....unatukana mtu asiekuwapo hapa ni upumbavu!
Maarifa yanatafutwa wapi?Both darasani na uraiani...ya darasani yalikushinda..mimi nina ya darasani na ya uraiani,wewe una ya uraiani tu,bado upo handcapped!
Mkuu Mr Lyanga hili tusi ulilomtukana mama yake jamaa lifute aisee. Hua natetemeka nikisikia mama yeyote duniani akitukanwa.😂😂😂 mbona povu linakutoka kama umemwagiwa manii mkunduni.
Urais siyo ubalozi wa nyumba kumi matako ya mama ako wewe
Wewe unadhani kupata 100 darasani ndiyo kipimo cha akili.
Tafta maarifa usitafte vyeti mbululaa wewe