Tiliuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe ni mbwa kokoEti anajaribu na kuzungumza kisukuma kidogo....aibu najisikia mimi yani
Unafikiri marekani watavuka kwa KAMALA ? Watakuwa kama Tanzania tu kamala kawashika sanando maana marekani hawataki huo ujinga na upuuzi, hayo mambo yamebakia tu sisiemu