Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,599
- Thread starter
- #81
Tuendelee kueleweshana mkuu, hii Laana haieleweki kabisa.Mshua
Yaani sentensi yangu ya pili nimeikataa kabisa ile definition ya kutoka sentensi yangu ya kwanza.Definition yangu ni very abstract,ni hypothetical ambapo kiuhalisia si kweli...
Unachokisema ni sawa kabisa.Ni ishu very subjective,na kitu kishakua subjective kinakua si halisi kabisa.
Laana ni kitu kisichokuwepo kiukweli...Ni hypothetical belief tu mkuu.
Yaani nakuelewa sana jembe!