Hivi Laana ni nini?

Mafwi Munda

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
1,750
1,599
Jamani eti laana ni nini?! Ni maombi au ni ni uchawi?! Huwa nasikia fulani kalaaniwa yule, usifanye hivyo utalaaniwa, usifanye hivyo utapata laana, utawala huu umelaanika, nakadharika. Laana ni nini?! Mtu aliyelaanika yukoje?! Nani hutoa au anauwezo wa kulaani?! Je laana ni ulizi/uchawi au maombi/dua mbaya kwa mtu, na je hizi laana pia hutolewa na mungu au ni mashetani au mizimu?! Nami naweza kumlaani mtu au nini vigezo vya kulaani na kulaaniwa?!
 
Jamani eti laana ni nini?! Ni maombi au ni ni uchawi?! Huwa nasikia fulani kalaaniwa yule, usifanye hivyo utalaaniwa, usifanye hivyo utapata laana, utawala huu umelaanika, nKadharika. Laana ni nini?! Mtu aliyelaanika yukoje?! Nani hutoa au anauwezo wa kulaani?! Je laana ni ulizi/uchawi au maombi/dua mbaya kwa mtu, na je hizi laana pia hutolewa na mungu au ni mashetani au mizimu?!
Muulize prof Lipumba...na dk olimboka...watakupa Ukweli .
 
ngoja waliowakhi kupata laana waje mkuu..maana wao ndio watkuwa na majibu stahiki kabisa ya maswali yko kutokana na uzoefu walioupitia
 
Laana ni mtazamo wa mtu ktk jambo fulani ambalo hataki limtokee. Ndio kusema Kwa hulka ya binadamu jambo ambalo analiogopa lisimtokee analichukulia km laana. Unaposema Mfano serikali hii ina laana ni negative kwa upande msioiunga mkono lakn kwa wenye maslahi nayo wanaona ni baraka. So hakuna kitu laana duniani
 
Hahaha nilidhani aliyelaanika hayuko vizuri ki akili?! watatuelezaje sasa au walio karibu yao?!
 
Magufuli aliwahi kusema alijaribu urais unasukumiziwa, hivyo kwakuwa hakutaka hiyo ni laana kwake kwa maana yako?!
Serikali unaiungaje mkono?!
 
Alikuwa hajiamini kama angefuata urais. Kuiunga mkono serikali kwani huoni? Ni kuhamia ccm kwa kauli mbinu kumuunga mkono rais, ,(kidding)
 
Laana ni ubashiri hasi tu. Yaani mtu yoyote mwenye uzoefu mkubwa wa maisha anakubashiria kuwa kwasababu umekuwa na mwenendo fulani mbaya basi siku za baadaye utapatwa na mambo haya n.k
 
laana ni Bad Karma.
kuna watu wamelaaniwa ila hawajijui.
Sio kila mtu ana mamlaka ya kukulaani.
 
Alikuwa hajiamini kama angefuata urais. Kuiunga mkono serikali kwani huoni? Ni kuhamia ccm kwa kauli mbinu kumuunga mkono rais, ,(kidding)
Hahaha wale wanaojiuzulu kuunga mkono nasikia wasisemwa wamelaaniwa/wamelaanika.
 
laana ni Bad Karma.
kuna watu wamelaaniwa ila hawajijui.
Sio kila mtu ana mamlaka ya kukulaani.
Bad Karma ni nini?! Kulaanika unakuwaje na tunamtambuaje aliyelaanika?! Hao waliolaanika lakini hawajitambui sisi tunawajuaje?! Na nikilaaniwa na kuwaje?!
 
Hahaha nilidhani aliyelaanika hayuko vizuri ki akili?! watatuelezaje sasa au walio karibu yao?!
teheee walio karibu yao nawao pia ..
then ngoja nikwambie kitu ..unapopata laana sio mpaka uwe kichaa ..
yaani waweza kuandamwa na mikosi ..Mara haudumu ktk mahusiano wew na mkeo/ mume .gf /bf ..Mara ufukuzwe kazi ..kila unachokfnya kisifikie malengo yaani vurulu vurulu ...
 
Hahaha hivyo laana ni mikosi?! Mkosi/mikosi ni nini?! Kumbe laana inaambukiza?! Umesema na walio karibu na aliyelaanika nao hupata laana?!
 
Bad Karma ni nini?! Kulaanika unakuwaje na tunamtambuaje aliyelaanika?! Hao waliolaanika lakini hawajitambui sisi tunawajuaje?! Na nikilaaniwa na kuwaje?!
karma ni vuno la matendo Yako.
Ukitenda Wema utavuna mema,Ukitenda ubaya utavuna ubaya.Mavuno huwa makubwa kuliko mbegu.

Sasa Laana navojua ni vuno baya kutokana na matendo yako mabaya kwa watu ambao hawakustahili ubaya wako hasa wazazi au ndugu wa karibu,rafiki au mpenzi(mwenye mashiko)

sasa hilo vuno baya linaweza kukupiga kama hali,tabia au Gonjwa.

Kujijua kama una laana ni kujitathmini na mabaya au tabia mbaya ulonayo.
laana inapiga kizazi mpaka kizazi.
Waweza kupatwa na changamoto isio kikomo,gonjwa au hasara...jitafakari mapito yako.Tubu anza upya
kwa wale wasio amini mungu watende mema mengi kuliko mabaya kufuta madeni yao yanayoleta laana.
mfano wa laana ni ulevi uliotukuka wa kuleta hasara au umalaya usio mfano ambao utakupa majibu mazuri Tu yq kupendeza siku za Usoni.
 
Hahaha hivyo laana ni mikosi?! Mkosi/mikosi ni nini?! Kumbe laana inaambukiza?! Umesema na walio karibu na aliyelaanika nao hupata laana?!
mikosi nivile ambavyo mambo yako yanavyoweza kukuendea Kombo yaani bila sbabu za kueleweka kwa mfano wafukuzwa kazi leo baada ya siku kadhaa umefiwa na mke ..Mara nyumba imeungua ..here hodi hodi za wanaokudai hawa hapa Mara paaap upo oysterbay ..hivyo yaani wewe unakuwa mtu wa mabalaa tu ..yaweza kuwa ulikuwa na mwanamke uliyeanza kutafuta nae maisha then baada ya kufanikiwa ukamuacha so akaamua kumshtakia mungu ..mungu nae akaamua kuanza kukushikisha adabu ...wenyewe wanaita karma
 
Sasa hii laana ambukizi ya kupiga kizazi mpaka kizazi huoni ni uonevu kumlaani asiyehusika?!
Anyway laana pia hutolewa na mungu au shetani?! Niliwahi kuambiwa mungu ana nguvu zote hasi na chanya, lakini shetani nguvu zake ni hasi tu. Je hii Karma ni nguvu hasi tu au kuna karma chanya?! Je laana ni hasi na je ni hasi ya mungu au shetani?!
 
mikosi nivile ambavyo mambo yako yanavyoweza kukuendea Kombo yaani bila sbabu za kueleweka kwa mfano wafukuzwa kazi leo baada ya siku kadhaa umefiwa na mke ..Mara nyumba imeungua ..here hodi hodi za wanaokudai hawa hapa Mara paaap upo oysterbay ..hivyo yaani wewe unakuwa mtu wa mabalaa tu ..yaweza kuwa ulikuwa na mwanamke uliyeanza kutafuta nae maisha then baada ya kufanikiwa ukamuacha so akaamua kumshtakia mungu ..mungu nae akaamua kuanza kukushikisha adabu ...wenyewe wanaita karma
Kumbe hii karma/mikosi ndio laana na hutolewa na mungu?! Huyu shetani kwanini tuna muhusisha na mabaya, ukifukuzwa kazi eti shetani, kumbe mungu kajibu mashitaka ya watu.
 
Hahaha hivyo laana ni mikosi?! Mkosi/mikosi ni nini?! Kumbe laana inaambukiza?! Umesema na walio karibu na aliyelaanika nao hupata laana?!
na kwamfano wawweza mumkosea mzazi wako kwa kiasi kikubwa mnooo kisha akakutamkia kuanzia leo mimi sio mzazi wako mtafute baba/mama yako ..kwahiyo hiyo inakuwa nilaana waweza kuwa chizi au kuvurugikiwa kwa mambo yko yotee na sio lazima iwe leo au kesho yaweza kupita miaka mpka ukajikuta umesahau kama ulipewa laana na mzazi wako...so baada ya miaka kadhaa ndio mabalaa yanaanza ..na huwa inkwenda mpak kwa kizazi chako..yaani mjukuu wako mmoja wapo au wote wakajikuta wao niwatu wa hvyo hvyo tu hakuna wanachokifnya kikawa na ufaulu ..

juzi kati kuna CIA ambaye yupo hospital mahututi aliitisha press akiwa hoi kitandani akaanza kuwaeleza waandish kuwa yye ndiye muhusika wa mauaji ya kifo cha Bob Marley ..Jamaa anasema alitumwa na serikali ya America kumuwekea sumu ..

sasa kule kuumwa kwake kule na mateso anayoyapitia hiyo nisehemu ya laana aliyoitnda ..mimi nawew hatuwezi jua kuwa Jamaa analaana yakusababisha kutoa roho za watu wangapi ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom