tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,323
Hahaha wale wanaojiuzulu kuunga mkono nasikia wasisemwa wamelaaniwa/wamelaanika.
wale kweli wanalaana ya watanzania wanasababisha upotevu wa fedha kurudia uchaguzi.Hahaha wale wanaojiuzulu kuunga mkono nasikia wasisemwa wamelaaniwa/wamelaanika.
wale kweli wanalaana ya watanzania wanasababisha upotevu wa fedha kurudia uchaguzi.kwani nguvu chanya na hasi ni zipi na zipi mkuu..hebu tohoa hapa ..nakuhusu laana kukifikia kizazi chako ..mkuu nadhani wajua suala lakuhusu vinasaba vya damu vinavyofnya Nazi ktk mwili wamtu ..ndio maana wakuta kuna watoto hufanana mpaka Tabia ambazo walikuwa nazo wazazi wao utotoni .mbona huoji kuwa huo nao niuonevuSasa hii laana ambukizi ya kupiga kizazi mpaka kizazi huoni ni uonevu kumlaani asiyehusika?!
Anyway laana pia hutolewa na mungu au shetani?! Niliwahi kuambiwa mungu ana nguvu zote hasi na chanya, lakini shetani nguvu zake ni hasi tu. Je hii Karma ni nguvu hasi tu au kuna karma chanya?! Je laana ni hasi na je ni hasi ya mungu au shetani?!
Mkuu...Jamani eti laana ni nini?! Ni maombi au ni ni uchawi?! Huwa nasikia fulani kalaaniwa yule, usifanye hivyo utalaaniwa, usifanye hivyo utapata laana, utawala huu umelaanika, nakadharika. Laana ni nini?! Mtu aliyelaanika yukoje?! Nani hutoa au anauwezo wa kulaani?! Je laana ni ulizi/uchawi au maombi/dua mbaya kwa mtu, na je hizi laana pia hutolewa na mungu au ni mashetani au mizimu?! Nami naweza kumlaani mtu au nini vigezo vya kulaani na kulaaniwa?!
mkuu laana haitoki kwa mungu tu pekee hata shetani anaweza kukutandika laana ..kwa mfano umeamua kujiunga na mambo yakishirikina ili ujipatie mafanikio katika jambo/mambo FulaniKumbe hii karma/mikosi ndio laana na hutolewa na mungu?! Huyu shetani kwanini tuna muhusisha na mabaya, ukifukuzwa kazi eti shetani, kumbe mungu kajibu mashitaka ya watu.
Hivyo wale wazee wapatao Pakinson au Alzheimer diseases ni laana ile au nakosea?! Vipi kuhusu kuomba toba/msamaha kwa dhambi/makosa uliyotenda unamuomba mungu au uliyemtendea?! Na ikiwa laana inaambukiza vizazi vingi, mimi au mtu aliyelaanika kutokana na dhambi za babu anafanyaje kujinasua na laana au hii karma?!na kwamfano wawweza mumkosea mzazi wako kwa kiasi kikubwa mnooo kisha akakutamkia kuanzia leo mimi sio mzazi wako mtafute baba/mama yako ..kwahiyo hiyo inakuwa nilaana waweza kuwa chizi au kuvurugikiwa kwa mambo yko yotee na sio lazima iwe leo au kesho yaweza kupita miaka mpka ukajikuta umesahau kama ulipewa laana na mzazi wako...so baada ya miaka kadhaa ndio mabalaa yanaanza ..na huwa inkwenda mpak kwa kizazi chako..yaani mjukuu wako mmoja wapo au wote wakajikuta wao niwatu wa hvyo hvyo tu hakuna wanachokifnya kikawa na ufaulu ..
juzi kati kuna CIA ambaye yupo hospital mahututi aliitisha press akiwa hoi kitandani akaanza kuwaeleza waandish kuwa yye ndiye muhusika wa mauaji ya kifo cha Bob Marley ..Jamaa anasema alitumwa na serikali ya America kumuwekea sumu ..
sasa kule kuumwa kwake kule na mateso anayoyapitia hiyo nisehemu ya laana aliyoitnda ..mimi nawew hatuwezi jua kuwa Jamaa analaana yakusababisha kutoa roho za watu wangapi ..
karma inaweza ikawa Njema au kinyume chake...ila Laana ni negative Karma.Sasa hii laana ambukizi ya kupiga kizazi mpaka kizazi huoni ni uonevu kumlaani asiyehusika?!
Anyway laana pia hutolewa na mungu au shetani?! Niliwahi kuambiwa mungu ana nguvu zote hasi na chanya, lakini shetani nguvu zake ni hasi tu. Je hii Karma ni nguvu hasi tu au kuna karma chanya?! Je laana ni hasi na je ni hasi ya mungu au shetani?!
kumbuka jambo MOJA,kufa ni Lazima.na kwamfano wawweza mumkosea mzazi wako kwa kiasi kikubwa mnooo kisha akakutamkia kuanzia leo mimi sio mzazi wako mtafute baba/mama yako ..kwahiyo hiyo inakuwa nilaana waweza kuwa chizi au kuvurugikiwa kwa mambo yko yotee na sio lazima iwe leo au kesho yaweza kupita miaka mpka ukajikuta umesahau kama ulipewa laana na mzazi wako...so baada ya miaka kadhaa ndio mabalaa yanaanza ..na huwa inkwenda mpak kwa kizazi chako..yaani mjukuu wako mmoja wapo au wote wakajikuta wao niwatu wa hvyo hvyo tu hakuna wanachokifnya kikawa na ufaulu ..
juzi kati kuna CIA ambaye yupo hospital mahututi aliitisha press akiwa hoi kitandani akaanza kuwaeleza waandish kuwa yye ndiye muhusika wa mauaji ya kifo cha Bob Marley ..Jamaa anasema alitumwa na serikali ya America kumuwekea sumu ..
sasa kule kuumwa kwake kule na mateso anayoyapitia hiyo nisehemu ya laana aliyoitnda ..mimi nawew hatuwezi jua kuwa Jamaa analaana yakusababisha kutoa roho za watu wangapi ..
lakini Tayari huyo CIA ameshatoa ushuhuda wa jinsi alivyoweza kusbabisha kifo kwa Bob..kwamba alimpatia zawadi ya simple yenye kipini chenye virus wa cancer ambacho kikihifadhiwa ndani ya kiatu ..na baada ya bob kukijaribu hcho kiatu akajichoma nalengo likawa limetiamia...kumbuka jambo MOJA,kufa ni Lazima.
Na kifo kina sababu nyingi sana,mojawapo ni sababu isio elezeka.
Ubaya au dhambi ni nini?! Ikiwa nimedhamilia kukugonga na dhamira yangu ikatimia nafurahi. Ikiwa nimedhamiria kukuua na ikatimia nikakuua nitafurahi na ikiwa nitafurahi hiyo siyo laana kwa maaana yako kwamba laana ni vile utakavyojisikia au ile guilt cautious, nilidhani ukitubu kwa uliyemkosea mungu huona dhamira yako na kukusamehe au napaswa kutubu kwa mungu?! Vitabu vinasema kitubio au toba nzuri ni kuomba msamaha kwa uliyemkosea kwamba mungu hukusamehe pia?! Lakini wewe umesema utubu kwa nia njema sio kwa uliyemkosea sasa unatubu kwa nani?!Mkuu...
Nitaelezea kidogo Kuhusu laana kwa mujibu wa wanasaikojia!
Laana ni Ww kutokana na matendo yako, the way unavojisikia Baada ya kufanya kitu kibaya Hiyo Ndio laana yenyewe!
Mfano, Unafika mahali unamgonga mtu na gari then unakimbia, Ile guilty/hukumu unayoisikia ndani mwako, Ndio laana yenyewe!
Laana ni matokeo ya dhambi anazofanyq mwanadamu, laana haitoki nje ya Ww, ni Ww mwenyewe ndie Unajipa laana!
Ukifanya kitu kibaya, Ile guilty/laana huwa inaaanza kutafuta mahali pa kutua, itabakia kwako mpaka utakapoamua kutubu, once ukitubu (sio lazima utubu direct kwa uliemkosea!) Basi laana huondoka pale pale, Mhimu ni kutubu kwa nia moja!
mtoa mada kwanza ykupasa utambuwe kuwa sio kila mabalaa yanayomfika mtu katika maisha yake basi huwa ni sbabu ya laana .mabalaa mengine humfika mtu kutokakana na mifumo tuliyonayo kimaisha .mfano nilikuwa na biashara yangu ambayo niliitafuta kihalali kabisa lakini nikawekeza mahali ambapo baadae pamekumbwa na operation ya bomoa bomoa kisha nikajikuta nafilisika kutokana nahiyo operation mwisho wa Siku na shindwa kuhandle stress then najiua ...na kuna mwingine ambaye anaandamwa na laana alipitia uwekezaji kama huo huo nilioufnya mimi akajikuta anapitia laana ktka huo mtihani kama jinsi ambavyo mimi nikipitia ..Hivyo wale wazee wapatao Pakinson au Alzheimer diseases ni laana ile au nakosea?! Vipi kuhusu kuomba toba/msamaha kwa dhambi/makosa uliyotenda unamuomba mungu au uliyemtendea?! Na ikiwa laana inaambukiza vizazi vingi, mimi au mtu aliyelaanika kutokana na dhambi za babu anafanyaje kujinasua na laana au hii karma?!
Je kuna kinga/chanjo au prophylaxis/prophylactic preemptive precautions za hizi laana au karma?!
Yaani kujikinga na madhara ya hizi karma?!
Nitajuaje nimelaanika kupitia baba/mama/bibi/babu ikiwa hatujuih dalili au siku hizi laana au karma kuanza kutokea?!
Yes kufa ni lazima hata kiimani wanasema ukifa ndio njia yakufika kwa muumba, hata usipotenda dhambi kabisa utakufa tu. Sidhani kama kifo ni laana au?!kumbuka jambo MOJA,kufa ni Lazima.
Na kifo kina sababu nyingi sana,mojawapo ni sababu isio elezeka.
Sijaridhika na jibu, hii negative karma ya mungu au ya shetani na zinatofauti gani?! Karma positive(njema) ikoje, mifano please.karma inaweza ikawa Njema au kinyume chake...ila Laana ni negative Karma.
kuhusu kupig kizazi mpaka kizazi nadhani ni zao la nature tu ni kama mambo ya DNA .
(1) hakuna kinga zaidi yakuwa smart kimatendo kimatendo ..nakuhusu kuomba msamaha yakupasa umuombe muhusika kisha umalizie kwa MUNGU ..maana haitoleta mantik eti kumuomba mungu huku yule uliyemtendea ubaya akiwa bado anaishi na simanzi ndani ya moyo wke ..Hivyo wale wazee wapatao Pakinson au Alzheimer diseases ni laana ile au nakosea?! Vipi kuhusu kuomba toba/msamaha kwa dhambi/makosa uliyotenda unamuomba mungu au uliyemtendea?! Na ikiwa laana inaambukiza vizazi vingi, mimi au mtu aliyelaanika kutokana na dhambi za babu anafanyaje kujinasua na laana au hii karma?!
Je kuna kinga/chanjo au prophylaxis/prophylactic preemptive precautions za hizi laana au karma?!
Yaani kujikinga na madhara ya hizi karma?!
Nitajuaje nimelaanika kupitia baba/mama/bibi/babu ikiwa hatujuih dalili au siku hizi laana au karma kuanza kutokea?!
Kile kitendo cha Ww kumgonga mtu na gari then ukafurahi unakuwa tayari una laana zinazokuandama.Ubaya au dhambi ni nini?! Ikiwa nimedhamilia kukugonga na dhamira yangu ikatimia nafurahi. Ikiwa nimedhamiria kukuua na ikatimia nikakuua nitafurahi na ikiwa nitafurahi hiyo siyo laana kwa maaana yako kwamba laana ni vile utakavyojisikia au ile guilt cautious, nilidhani ukitubu kwa uliyemkosea mungu huona dhamira yako na kukusamehe au napaswa kutubu kwa mungu?! Vitabu vinasema kitubio au toba nzuri ni kuomba msamaha kwa uliyemkosea kwamba mungu hukusamehe pia?! Lakini wewe umesema utubu kwa nia njema sio kwa uliyemkosea sasa unatubu kwa nani?!
Hapa sijazungumza kwa mrengo wa kidini ndugu yangu.Sijaridhika na jibu, hii negative karma ya mungu au ya shetani na zinatofauti gani?! Karma positive(njema) ikoje, mifano please.
Je ukipata karma ya shetani unaweza kumuomba, msamaha?! Au zote negative karma ya mungu na shetani msamaha hutoa mungu?!
Lakini hii haijibu swali laana ni nini na hutolewa na mungu au shetani au nani?! Bomoabomoa ni athari za kibinadamu ni tofauti na tetemeko la ardhi au radi au kuliwa na simba.mtoa mada kwanza ykupasa utambuwe kuwa sio kila mabalaa yanayomfika mtu katika maisha yake basi huwa ni sbabu ya laana .mabalaa mengine humfika mtu kutokakana na mifumo tuliyonayo kimaisha .mfano nilikuwa na biashara yangu ambayo niliitafuta kihalali kabisa lakini nikawekeza mahali ambapo baadae pamekumbwa na operation ya bomoa bomoa kisha nikajikuta nafilisika kutokana nahiyo operation mwisho wa Siku na shindwa kuhandle stress then najiua ...na kuna mwingine ambaye anaandamwa na laana alipitia uwekezaji kama huo huo nilioufnya mimi akajikuta anapitia laana ktka huo mtihani kama jinsi ambavyo mimi nikipitia ..
mtazamo huo pia unakwenda mpka kwa wanaofikwa na magonjwa na kadhalika ..yaweza kuwa ni hali tu yakiafya ama hali inayosbabishwa na laana waliyoipata..
Asante, hii kuwashirikisha wakubwa na hawa ndio hulaani ukiwakosea, wakubwa hutoa laana?! How?!(1) hakuna kinga zaidi yakuwa smart kimatendo kimatendo ..nakuhusu kuomba msamaha yakupasa umuombe muhusika kisha umalizie kwa MUNGU ..maana haitoleta mantik eti kumuomba mungu huku yule uliyemtendea ubaya akiwa bado anaishi na simanzi ndani ya moyo wke ..
(2) aiseee hapo kwenye kujinasua kuhusu laana aliyotnda babu ama bibi nadhani suala hilo linawezekana maana kuna wngine huwa wanakwenda makanisni kwaajili yakuombewa ili waepuke laaana ya mababu zao na mabibi zao..nawengine ambao bado wanajihusisha na mambo ya mila huwa wanakwenda makwao kutambikwa ..
(3)kuhusu namna yakujua niwewe ama watu wakowakaribu wanao kuzunguka kuweza kutambua mienendo hasi ya maisha yako nakuamua kuwa shirikisha wakubwa wako waliowatangulia au viongozi wa dini kuhusu Yale yanayokuzunguka kila siku ambayo kwanamna moja ama nyingine hayana taswira njema ktk maisha yko
Asante kwa majibu yako, mimi niuliza general ingawa niliweka dini lakini labda sikujua au sikuwa na namna nyingine ya kukuuliza.Hapa sijazungumza kwa mrengo wa kidini ndugu yangu.
Nafikiri tendo baya au Jema halina dini.
kuhusu dini watakuja kukujibu wenye dini zao.
Ukipanda wema Utavuna Mema,ukipanda ubaya utavuna ubaya!
Mungu yumo ndani yetu sote na hana wala hajawahi kuwa na dini.
Kuhusu shetani watamzunguzia vema wanaomjua.
Nashukuru nitatafuta kanuni za karmaKile kitendo cha Ww kumgonga mtu na gari then ukafurahi unakuwa tayari una laana zinazokuandama.
Kuhusu kutubu kwa uliemkosea Hiyo Inategemea na mazingira, mfano umemgonga mtu sehemu yenye population kubwa km kariakoo au posta then ukakimbia, ni ngumu sana kuja kumuona tena!
Ndio maana Kuna option either ukatubu mbele ya Mungu wako au vyovyote tu unavoweza, Mhimu ni kutubia kosa lako.
Ukisoma Kanuni za KARMA utaelewa vizuri zaidi!
Kumbuka, what goes around comes around ...this is a must,hata km sio kwako basi kwa wengine wa Karibu yako hasa watoto wako!