Hivi kwenda bar au club ni uhuni???

Asante kwa ushauri, ila ukisoma katika thread yangu utaona kuwa huwa anatoka na marafiki, schoolmates, workmates na co pekeyake. na hao marafiki zake humtreat kwa jinsi alivyo... co kimapenzi!
Nimeongelea pia unfluence ya marafiki..........ina nafasi kubwa sana ya kubadili stand ya mtu
 
wanaume weng ukiwambia ukweli kuwa naenda club,nakunjwa pombe wee amekutoa katika list ya a wife to be.Hatakama yex2 anaenda club na kunjwa ktk kuoa anatafuta ambaye hanjwi na haend club. Mengine ajipime mwenyewe cio lazma ushauri.
 
The Boss kwa mimi bianfsi cwezi kureact kwani nina mfano hai 1 kuna mkaka alioa baamedi na sasa ni wanandoa wazuri tu lakini leo hii ukimwambia mtu kuwa unaoa baamed atakujia juu kama moto wa kifuu.... kinachoamata ni tabia ya mtu binafsi na sio mahali mlipokutania...... mnaweza kukutana kanisani lakini akawa na tabia mbaya kuliko hata machangudoa!
Charminglady,siku zote jamii inapotoa mtazamo juu ya mtu au jambo flani huangalia asilimia,kwenye suala la baamedi si wote wanatabia ile tuijuayo(wauza..) ila asilimia kubwa wanafanya hivyo! ndio maana ukimwambia mtu unataka kuoa baamed lazima mshangao wa haili ya juu uwepo kwa sababu ya kile jamii inachokifahamu juu yao!
Si vyema kufurahishana hapa na kuposha jamii ila hakika ukweli toka ndani ya nafsi yako ukisikia kaka yako kaoa baamed
lazima utapata mshangao!! so mwanamke anapokuwa bar bila mpenz wake na anatumia kilevi,yupo katika asilimia kubwa sana ya kuambatana na tabia za kihuni kadri muda unavyozidi!
 
Sio uhuni ila inachangia kutokuwa katika mazingira ya kupata vishawishi ili umsahau Mungu wako.
 
Wakati nasoma kichwa cha habari kuhusu hii thread...swali langu la kwanza nililotaka kuuliza ni hilo "uhuni ni kitu gani?"
.
Wakuu Mundu & CHUAKACHARA & charminglady

Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI


Neno uhuni lina maana mbili


1. vagrancy, hooliganism.
2. bachelorhood.


PIA

bachelor = kapera: mtu ambaye hajaoa..

Kwa maana ya Tafsiri ya namba 2 .. ni kuwa:

Kama wewe ni kapera / hauko kwenye ndoa ... wewe ni mhuni!

Hata kama unasali sanaaa unashinda msikitini au kanisani .... na wala baa / club / sehemu za starehe huendi .... as long as haupo kwenye ndoa ... wewe ni mhuni tu!
.
 
Yaonyesha na wewe ni walewale manaochart kwenye fb, wakati mko kanisani, unaenda kanisani kusali kuchart na cm, unashindwa kumpa Mungu wako japo saa mbili za kumuabudu unakalia kuchart na cm? Umefuata nini kanisani, siungebaki nyumbani kwako ukachart vzr

Umnase kibao imekuhusu na kitu gani?

Kosa lake ni lipi hata alitambue akinaswa kibao? Sana sana angetambua kosa lako wewe la kuingilia uhuru wake binafsi
 
Yaonyesha na wewe ni walewale manaochart kwenye fb, wakati mko kanisani, unaenda kanisani kusali kuchart na cm, unashindwa kumpa Mungu wako japo saa mbili za kumuabudu unakalia kuchart na cm? Umefuata nini kanisani, siungebaki nyumbani kwako ukachart vzr

Hayo ni baina ya mimi na Mungu, binaadamu hayamhusu.

Huna mamlaka hata chembe-kimaandiko wala kikatiba- ya kumnasa mtu kibao kwa sababu kachat kanisani

Sio kazi yako, na wala huna uthubutu huo
 
kujibu swali la thread
hivi kaka yako akija kukwambia amepata mchumba alipoenda club/bar
uta react vipi?
ndo pale kua ni tafsiri za jamii kua ni uhuni kwenda clab ni uhuni.
lakini mbona yeye huyo kaka alikenda clab??
 
Back
Top Bottom