CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
Husika na hiyo heading, hilo ni swali kaniuliza rafiki yangu (mdada) nimpe ushauri na mtazamo wangu kuhusu hilo suala....
Anasema kwua yeye akijisikia kutoka out huwa anawatafuta washkaji zake wanatoka out, wanapiga story, wanakunywa pombe then anarudi zake home kwake..... au kama ni w-end anawatafuta wanakwenda club baadaye wanamrudisha home kwake...
Sasa kaniuliza mimi kama rafiki yake nina mtazamo gani juu ya hiyo tabia yake? kabla sijamjibu naomba mtazamo / ushauri juu ya hili..........
Kimahusiano yeye hana mahusiano ya kudumu ana b/f wake ambaye huwa wanatafutana wakiwa na naniliu tu baada ya hapo kila mtu ana hamsini zake, sababu ya yeye kufanya hivo ni kutokana na kutendwa ma aliyekuwa mchumba wake ambaye alimuacha wakati keshamtambulisha na kumpeleka kwao (kwao kijana) sababu sijui hajanambia mpaka leo.
Ili tuweze kutoa majibu sahihi, tuwe na base moja ya ku-hinge arguments zetu. Let first define what is uhuni, then from there we will reach a valid conclusion. For example if I ask you: Is a whale a fish? You will first have define what are the characteristics of a fish and a whale -define the two terms!
I'm neither a grammarian nor grammar police but your grammar and syntax suck.
Kimahusiano yeye hana mahusiano ya kudumu ana b/f wake ambaye huwa wanatafutana wakiwa na naniliu tu baada ya hapo kila mtu ana hamsini zake, sababu ya yeye kufanya hivo ni kutokana na kutendwa ma aliyekuwa mchumba wake ambaye alimuacha wakati keshamtambulisha na kumpeleka kwao (kwao kijana) sababu sijui hajanambia mpaka leo
kwenda club au bar si uhuni provided you aren't doing anything illegal
Inategemea unaishi kijiji gani! Jumapili kwenye ibada nilikaa na mdada kanisani yuko busy anachat kwenye bbm!
wala sio uhuni ni kujifurahisha unafanya kitu roho inapenda. kuna wengine hawaendi bar wala club lakini mambo yao balaa tupu.....kama nia yake ya kwenda bar na club ni kujifurahisha aendelee bila wasi
wala sio uhuni ni kujifurahisha unafanya kitu roho inapenda. kuna wengine hawaendi bar wala club lakini mambo yao balaa tupu.....kama nia yake ya kwenda bar na club ni kujifurahisha aendelee bila wasi
Afu wewe......ole wako nikukamate!
Nikuelekeze aliko? Nilipe deni langu kwanza....
Inategemea unaishi kijiji gani! Jumapili kwenye ibada nilikaa na mdada kanisani yuko busy anachat kwenye bbm!
Ni starehe.....starehe sio uhuni ingawa kuna starehe za kihuni
inategemea anaenda kufanya nini huko club au bar..wengine wanaenda kuwinda wanawake au wanaume na wengine kukutana na rafiki zao, wengine kupoteza mawazo...na kuendelea!yeye anaenda kufanya nini??