Hivi kweli Watanzania tupo milioni 60?

Uko sawa Mkuu lakini sidhani sensa yetu huwa inafanywa kwa umakini mkubwa. Hivyo wanaohusika kuhesabu Watanzania baadhi huwa wanalipua tu na kuweka namba FEKI bila kuingia nyumba kwa nyumba au ofisi kwa ofisi matokeo yake tunapata namba ambazo haziko accurate.

Pia niliwahi kusikia malalamiko ya wanaohusika kufanya sensa kwamba ni kazi ngumu, na muda ni mfupi na pesa wanayolipwa ni kiduchu Serikali inawalalia hivyo baadhi WANALIPUA TU.

Bongo kila kitu tunafanya kwa kulipua lipua.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Makadirio based on what?
Nafikiri ni mchanganyiko wa makadirio na actual figures. Kwa mfano idadi ya watoto wanaozaliwa kwa mwaka kwenye hospitali, vyeti vya kuzaliwa na makadirio ya idadi ya wanaozaliwa nyumbani. Pia wanaweza kupunguza idadi kutoka kwenye death certificates. Ninachotaka kusema hiyo idadi inaweza isiwe sawa kwa 100% lakini vipo vyanzo vya data vinavyoweza kusaidia makisio.
 
Back
Top Bottom