UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Nyani umeupiga mwingi nini? Jamaa kasema kabisa 'tunaweza kuwa' halafu wewe unauliza tena kama hizo namba siyo assumption?!Hiyo 70+ na/au 80, zenyewe siyo “assumption”?
Nyani umeupiga mwingi nini? Jamaa kasema kabisa 'tunaweza kuwa' halafu wewe unauliza tena kama hizo namba siyo assumption?!Hiyo 70+ na/au 80, zenyewe siyo “assumption”?
Sisi kiongozi wetu wa dini alisema tusihesabiwe, tukaandika mlangoni, SISI HATUHESABIWI, NYIE WACHAWI MNATAKA KUTULA NYAMAUko sawa Mkuu lakini sidhani sensa yetu huwa inafanywa kwa umakini mkubwa. Hivyo wanaohusika kuhesabu Watanzania baadhi huwa wanalipua tu na kuweka namba FEKI bila kuingia nyumba kwa nyumba au ofisi kwa ofisi matokeo yake tunapata namba ambazo haziko accurate. Pia niliwahi kusikia malalamiko ya wanaohusika kufanya sensa kwamba ni kazi ngumu, na muda ni mfupi na pesa wanayolipwa ni kiduchu Serikali inawalalia hivyo baadhi WANALIPUA TU.
Sisi kiongozi wetu wa dini alisema tusihesabiwe, tukaandika mlangoni, SISI HATUHESABIWI, NYIE WACHAWI MNATAKA KUTULA NYAMA
Wanafanya makadiliio toka 2012 hadi leo huenda idadi hyo imefika make walikuwa million 55 kujumlishaHii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?
Kuna sensa iliyofanyika na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
Mipango ya serikali ni vululu vululu, utadhani wamekurupuka. Miaka 10 inatosha sana kwa maandalizi .Nakumbuka kulikuwa na malalamiko mengi sana ya Watanzania kila Mkoa wakidai kwamba hawakuwaona hao watu wa sensa majumbani kwao maofisini kwao hivyo hawakuhesabiwa. Wahusika katika sensa ile malalamiko yao mengine ni kwamba walikuwa wachache na hakukuwa na usafiri wa uhakika hivyo zoezi la kwenda nyumba kwa nyumba liliwachosha sana. Kwa hii Serikali iliyokosa umakini katika kupanga mambo muhimu ya Kitaifa najua zoezi hilo mwakani litagubikwa na madudu mengi na Watanzania wengi sana hawatahesabiwa mwisho wa siku tutapata idadi ya Watanzania ambayo haitakuwa sahihi.
Nakumbuka kulikuwa na malalamiko mengi sana ya Watanzania kila Mkoa wakidai kwamba hawakuwaona hao watu wa sensa majumbani kwao maofisini kwao hivyo hawakuhesabiwa. Wahusika katika sensa ile malalamiko yao mengine ni kwamba walikuwa wachache na hakukuwa na usafiri wa uhakika hivyo zoezi la kwenda nyumba kwa nyumba liliwachosha sana. Kwa hii Serikali iliyokosa umakini katika kupanga mambo muhimu ya Kitaifa najua zoezi hilo mwakani litagubikwa na madudu mengi na Watanzania wengi sana hawatahesabiwa mwisho wa siku tutapata idadi ya Watanzania ambayo haitakuwa sahihi.
Dah! Wakati mwingine JF Moderators wawe wanatulazimisha tuwe tunaweka IDs na CVs zetu za ukweli humu. Yaani Nyani Ngabu ndio wa kuuliza hivi kweli!?Hii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?
Kuna sensa iliyofanyika na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo jioni tumefika 62M tayari
Say 2012 tupo 55 millionHii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?
Kuna sensa iliyofanyika na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
Hata 37 milioni hatufiki. Trust meHii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?
Kuna sensa iliyofanyika na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
Aisee mkuu chalii yangu iyo avatar picha yako yani sura ngumu AiseeWataalamu wa statistic wakichukua statistic za nyuma wana uwezo wa ku conclude
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
HahahahaAisee mkuu chalii yangu iyo avatar picha yako yani sura ngumu Aisee
ExtrapolationMakadirio based on what?
We jamaa akili yako ni ya kutilia shaka Sana.Hii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?
Kuna sensa iliyofanyika na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?