kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,686
Labda ni weweStory ya huyo dada haitofautian na yangu- wanawake mungu awasaidie
Labda ni weweStory ya huyo dada haitofautian na yangu- wanawake mungu awasaidie
Hana. Nasema hanaa! Kala hela za mpumbavu. Ni kama ameokota tu.Swali gumu nililojiuliza, jamaa aliyetumia pesa ya mwanamke huyu kujengea ana dhambi???
Naunga mkono hojaChama cha Mabaharia na waomba mumtendee Haki huyo mwanaume Aliyekula hela za huyo dada na kujenga nyumba kisha aka muweka mwanamke mwingine
Pia mumpandishe cheo haraka sana. Anastahiki kupewa uenyekiti wa Kanda ya Tanzania mashariki
Ni dhambi ndiyo ila ukumbuke mtu akitubu husamehewa. Jamaa tayari keshatoka kimaisha kiulaini kabisa bila jasho. Kazi anayo huyo aliyepanga chumba na sebule. Wanaume wadanganyifu hata wanawake pia na unapaswa kuwa makini. Alichofanyiwa huyo mwanamke ndicho alichokuwa anakitafuta wala asilalamike. Malipo ni hapa hapa dunianiAnayo kwa nini asiwe nayo? Hapo huyo aliyejenga ana dhambi kwanza ya kuzini na mke wa mtu pili dhurma
Dah...kuna tofauti kubwa sana kati ya MWANAUME na TAPELI...😎Chama cha Mabaharia na waomba mumtendee Haki huyo mwanaume Aliyekula hela za huyo dada na kujenga nyumba kisha aka muweka mwanamke mwingine
Pia mumpandishe cheo haraka sana. Anastahiki kupewa uenyekiti wa Kanda ya Tanzania mashariki
Itabidi apewe naubalozi waputuruu
Dah...kuna tofauti kubwa sana kati ya MWANAUME na TAPELI...😎
Duuh kuna siku kidogo nikuzamie pm mzee babaHahaha vijana mnavisa sana. . Waweza kuta ulisha Anza kunipigia hesabu za kunitongoza ''........
Duuh kuna siku kidogo nikuzamie pm mzee baba
Nikaona comment yako nikaahirisha
Kumbe ni me!!!
Nlichoka
Kuna mtu humu aliandika mwanamke anaweza kuwa hata na master degree lakini kichwa kinaweza kuwa kitupuSijui ndiyo upofu wa mawazo?
Mdada anakwambia ana bachelor degree kutoka Yudizim
Mpumbavu sana huyo dada Narudia MPUMBAVU SANA
Na bado akatike hata miguu mjinga mmoja huyo.... Unachukua mkopo unampa hawara??? Eti akajenga fwack, amediriki kumdanganya mume kuchukua pesa zote kumpa mchepuko,. Haya leo kakosa ndoa kamjengea mwenzie nyumba kilaiiini kabisa mjinga kabisa huyo
Ndoa sio kitu cha kuchezea, kama alikuwa anajua mume hatokidhi haja zake kwanini alikubali kula kiapo cha ndoa mjinga huyo? Anafikiri ndoa ni kula wali maharagwe?
Hii story imeniharibia siku kabisaaaa


Zesh umepanikiKuna siku ulihadithia kisa fulan cha mapenzAise. ...!!! Sababu haswaa iliyokupelekea kutaka kufanya hivyo ni nini?
Naam ana hatia!! Nae atasalitiwa na mali aliyotoa kwa huyo mke wa mtu itapotea. Easy come easy go.Swali gumu nililojiuliza, jamaa aliyetumia pesa ya mwanamke huyu kujengea ana dhambi???
Thank You.shikamooo mkuu, i thnk this wll be the best comment ever for this thread......thanks