Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

kisa u
Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili.

Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
kisa una kadegree kamoja unataka ukiajiriwa tu uwe mphamasia wa wilaya kijana vumilia upate uzoefu ili ujue dawa zinzpotea vipi, zinzpokelewaje inventory inzfznyikaje nk
 
Dah Mkuu umesoma Chuo gani ambacho kinakushindwa kujua kuwa...
Wote Daktari na Mfamasia Husoma Pharmacy ila tu Daktari husoma kwa Kiasi kile kimachohusiana na Mgonjwa...

Daktari hubase katika pharmacokinetics na kidogo Pharmacodynamics na Pharmacognosy
na mfamasia hu base kwenye Pharmacodynamics sana na pharmacognosy sana kuliko Daktari...

na ndo Maana daktari hawezi kuelelezea Dawa Ya Amoxycilne imatengenezwaje kwa sababu Hakusoma Pharmacognosy ila Ukimuuliza Dawa inafanyaje kazi kwa Mwili wa Binadamu atakuelezea mpaka inapotolewa na hata madhara yale hutokea vipi...

kwahyo usipotoshe umma Kuwa Kwenye Dawa Daktari hajui...
Japo mfamasia hajui How we Prescribe dawa na Dose maintanance na Kujua Dx ,Hx na Mx..

unaweza ukajua Dawa DUNIA NZIMA ZINATENGENEZWAJE NA ZINAKUWAJE DAWA LAKINI UKASHINDWA KUJUA DAWA GANI INAFAA KWA MGONJWA..

NB: BAHATI MBAYA MGONJWA HATAKI KUJUA DAWA INATENGENEZWAJE NA WAPI NA IMETOKANA NA NINI ANAACHOTAKA NI KUPONA NA DAWA IMLETEE MATOKEO MAZURI
Comment nzuri dokta
 
Kutest dawa as How?
Maana michakato yote ya madawa wanafanya Pharmacist..
Ila swala la Kuotesha wadudu Hapo utagombana na Scientist (Lab scientist) watakuja juu na wenyewe Hapa

Maana wao ndo wanaohusika na shughuli zote za Maabara pamoja na Wadudu wote iwe ni microbiology au parasite

Na maswala ya Udongo watu wa SUA ma Agrochemistry watakuua
Mkuu uko vizuri sana
 
Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili.

Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
Hivi vitu viko dunia nzima watu wameamka wanajifunza computer programming mitandaoni. Na ukiangalia hata google wanaajiri watu ambao hawajaenda chuo maana wameona kuna loop hole. Kuna vitu vingi sana mitandaoni na kuna mitandao inatoa course za bure. Kama unaona ni ngumu ingia youtube kuna full courses zinatolewa video za masaa hadi tisa. Tatizo waaafrika tunashinda kufuatilia udaku na mambo yasiyo na faida. Nipo chuo huku kitu ambacho ni compulsory katika course zote hapa kwenye chuo nilichopo ni computer science na Financial Accounting. Yaani huku nilipo hivi vitu ni lazima wanachukulia kama kujua kutumia Ms Word. Mfano hapa chini hii ni cousre ya computer science inatolewa na Havard. 👇 👇 👇 👇 👇

View: https://www.youtube.com/watch?v=8mAITcNt710&t=271s

Wahindi wanajifunza hivi vitu wakiwa makwao halafu wana-apply kazi abroad na wanapata tuchangamkie fursa.
 
Hongera kwa kuwepo Havard
 
Kitu nilichojifunza kwenye career life ni kuwa ni rahisi kuichuikulia poa field ya mwenzio kwa sababu ya mtazamo wa nje kama outsider, Ila ukipata bahati ya kuielewa au kuifanya hata kwa siku tu. Utabadili mtazamo wako
Tuishi tu humu humu
 
Back
Top Bottom