Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,886
- 831,205
Sikushauri kabisa siku hizi wapigaji wengi utapoteza pesa muda vitu na uhai wa wasio hatia kisha ukose na hizo pesakwahiyo hizo hela kumbe zipo!mkuu, hebu nifafanulie mwanzo hadi mwisho kuhusu hizo za kutoa kafara.
MIMI NAHITAJI MIHELA MKUU! pia nataka kujua, HIYO MIHELA INAKUA NI KIASI GANI? NI MIHELA INAYOTOKA SIKU ZOTE? AU INATOKA MALA MOJA?
kwa jinsi nilivyo na usongo, mimi mwenyewe ningeweza kujitoa kafara. yaani hivi, NAMAANISHA HIVI, NIFANYIWE MPANGO WA HIYO MIHELA, BAADA YA MIAAKA KADHAA, NIFE. nijibu usichoke
mkuu, hebu nifafanulie mwanzo hadi mwisho kuhusu hizo za kutoa kafara. 


