Hivi kweli kuna 'Jini la Pesa?'

Hivi kweli kuna 'Jini la Pesa?'

sio hadithi, mfano number 4 hiyo alikuwa nayo anko yangu ila alivyokufa tuu na mali zikaisha baada ya mwaka mmoja tuu ,,, ila pesa za majini sio nzuri aiiise
Tatizo umeandika meeeeeeengi mpaka nahisi ni hadithi ulizosimuliwa na wewe ukaamini ni kweli.

mimi nimeandika kuwa nahitaji pesa, sio pesa za mawazo, ziwe pesa kweli! masharti kwangu hayawezi kuwa kikwazo.
sasa wewe unaniambia hivi, mala vile.
 
Kuna Jini lilikuwa likiitwa kiringo, ungejitoa kafara kwake wala usingehangaika
 
Maswali ninayo mengi!..
Hilo Jini, linatoaje Pesa?
Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje!
Mimi nalihitaji wakuu!

kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
Jini la pesa lipo ila halipatikani kwa makafara.... Hiyo ni michezo tu ya wapigaji wa mjini... Jini pesa ndio linamtunuku mtu bila chembe ya ushirikina
 
1.Zipo za kufa wiki mbili mkeo anakuwa anakusanya funza tuu
2.za kuuwa kila mwaka ndugu yako au watoto wako hasa wale kipenzi chako
3.kupotea mwenyewe baada ya wiki unarudi ila hii unaweza usirudi kabisa siyo nzuri
4.zipo za kulala na mama yako yani unafanya mapenzi na mama yako kila mwezi
5. Zipo za kukatwa vidole vya miguu na unavaa hirizi kiunoni isionekane kwa yeyeyote except mke
ila hii hainaga hela nyingi

ushauri wangu chukuwa namba nne (04) ina pesa sana
mmmh " yaani alale na bimkubwa wake".... kweli bangi sio majani ya chai
 
Pesa hizi dah!!! yaani mchizi yupo ladhi kuUA wenzie kisa pesa ,jitafakari je ungekuwa wewe ndo mbuzi wa kafara,unge furahi ?
 
Jini la pesa lipo ila halipatikani kwa makafara.... Hiyo ni michezo tu ya wapigaji wa mjini... Jini pesa ndio linamtunuku mtu bila chembe ya ushirikina
Unataka kumaanisha nini hapo?
Kwamba "Jini la Pesa" halitafutwi? ila lenyewe linamtafuta limtakaye? fafanua mkuu
 
Unataka kumaanisha nini hapo?
Kwamba "Jini la Pesa" halitafutwi? ila lenyewe linamtafuta limtakaye? fafanua mkuu
Sawa sawa... Jini ni kiumberoho wa juu sana haendeshwi kwa mienendo ya kibinadamu.... Hata wale wanaofanikiwa kuyafuga wanapata tabu sana
 
Sawa sawa... Jini ni kiumberoho wa juu sana haendeshwi kwa mienendo ya kibinadamu.... Hata wale wanaofanikiwa kuyafuga wanapata tabu sana
sawa, ila bado sijaelewa.
ila nataka kufahamu zaidi.

kwahiyo kama nataka pesa, vyovyote vile, iwe jini la pesa au vyovyote vile inavyowezekana. nitazipata vipi? namaanisha "Mihela kweli" sio hela
 
sawa, ila bado sijaelewa.
ila nataka kufahamu zaidi.

kwahiyo kama nataka pesa, vyovyote vile, iwe jini la pesa au vyovyote vile inavyowezekana. nitazipata vipi? namaanisha "Mihela kweli" sio hela
Pesa ya haraka ni kwa njia ya kumtoa kafara mzazi au mwanao au ndugu wa karibu
 
Pesa ya haraka ni kwa njia ya kumtoa kafara mzazi au mwanao au ndugu wa karibu
kwahiyo hizo hela kumbe zipo! 😎 mkuu, hebu nifafanulie mwanzo hadi mwisho kuhusu hizo za kutoa kafara.
MIMI NAHITAJI MIHELA MKUU! pia nataka kujua, HIYO MIHELA INAKUA NI KIASI GANI? NI MIHELA INAYOTOKA SIKU ZOTE? AU INATOKA MALA MOJA?
kwa jinsi nilivyo na usongo, mimi mwenyewe ningeweza kujitoa kafara. yaani hivi, NAMAANISHA HIVI, NIFANYIWE MPANGO WA HIYO MIHELA, BAADA YA MIAAKA KADHAA, NIFE. nijibu usichoke
 
Back
Top Bottom