Hivi kweli kuna 'Jini la Pesa?'

Hivi kweli kuna 'Jini la Pesa?'

Unajua ni kafara gani unatakiwa kutoa?
Maswali ninayo mengi!..
Hilo Jini, linatoaje Pesa?
Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje!
Mimi nalihitaji wakuu!

kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
 
Nakuja
Huwa nakufatilia sana ktk mambo yako ebu naomba siku moja uzungumzie hili kwa kina ili pia wale wanajamvi pia tunaokua na imani fulani tupate kuelewa zaid maana siku hizi wapigaji wengi kweli Mshana Jr wahanga ni weng sana ktk hili mkuu
 
mbona masharti rahisa sana hayo!

wewe niambie zinapatikana wapi na zinapatikana vipi!
NB. ZIWE NI HELA KWELI, SIO HELA ZA KUWAZA WAZA.
Namsikitikia aliyekuzaa maana kwa hapa amezaa sheitwani kabisa...
 
Mungu hasaidii!

hela ninazozitaka hapa, si hela za mboga na viwalo, hapana.
NAHITAJI HELA ZA MAANA.
Kama unatafuta msaada pasipo kuwa na Mungu...Pole Sana..

Natamai ushapata hela za kujaza Diaba.
 
Back
Top Bottom