Hivi kweli kuna 'Jini la Pesa?'

Hivi kweli kuna 'Jini la Pesa?'

Yapo japo kwa sehemu ni story za kufikirika.....yapo maeneo ya mwambao wa pwani na hufanya uchaguzi kwa uangalifu na target ikiwa ni jinsia ya kiume.....ni mara chache mno jini hilo kumtunuku mwanamke....shida moja kubwa ni wivu ...likikutunuku utapata kila kitu bure ila usiwe muongo, mlinzi, mlevi wala mvuta sigara za aina zote
 
1CC6263B-7AF1-41DE-B8FC-536048342028.jpeg
 
Sema hayo MANENO kimoyomoyo, huyo ndiyo JINI MWENYEWE
 
Yapo japo kwa sehemu ni story za kufikirika.....yapo maeneo ya mwambao wa pwani na hufanya uchaguzi kwa uangalifu na target ikiwa ni jinsia ya kiume.....ni mara chache mno jini hilo kumtunuku mwanamke....shida moja kubwa ni wivu ...likikutunuku utapata kila kitu bure ila usiwe muongo, mlinzi, mlevi wala mvuta sigara za aina zote
Sawa, Tuachane na "hadithi za kufikirika"

Kweli Pesa za namna hiyo zipo?

Nitazipata vipi?

Masharti siwezi shindwa wala siogopi katika hilo!
 
Maswali ninayo mengi!..
Hilo Jini, linatoaje Pesa?
Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje!
Mimi nalihitaji wakuu!

kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
Huu ni ushahidi kwamba kweli vyuma vimekaza
 
Back
Top Bottom