siku hz watu wana mfumo mpya wa kukutawala ambayo huenda ni hatari na ni ngumu kujikwamua , mfumo wa akina Uingereza na Ufaransa ni old fashioned , Amka bro , ss hv watu wanachagua wanaenda wap na kufuata nn ? na kina umuhimu gan kwao ? Huo mfumo wa zaman ulikuwa unawacost sana maana wanatoa ela kufanya ujenz wa miundombinu ambayo wataiacha bila kuwa na faida nao ila ss hv unaomba mkopo wa kujenga mradi wa reli pia ela unawalipa wao wajenge hiyo reli kisha wanakuendesha kupitia deni lao ( akil kwa mukichwa )Kwani U.S.A anatawala nchi ngapi mfano Uingereza alivyotawala karibia nusu ya dunia ? Nitajie angalau mataifa 10 yaliyo chini ya amri ya U.S.A Kama ilvyokuwa kwa Muingereza, Ujerumani, Egypt,Roman Empire , Greece
OPChina haijawahi kusema wataifikia U.S.A 2020 Bali target yao waliipachika jina Economic Mission/Vision 2050 hii ndio target waliopanga kumfikia U.S.A kiuchumi
Hakika hivyo ndivyo ilivyo.Kwa hoja yako, Marekani itatawala milile?
Hicho ndo kitu huwa mnajidanganya, umeshawahi kujiuliza kuhusu nguvu ya pesa ya china au Japan? Na ukajiuliza pia kuhusu nguvu yao kiuchumi?!USA anaitawala Dunia kupitia hela yake,kitu ambacho Nchi nyingi zinaanza kukataa mfumo huo.
US ni namba moja kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia.Kikeshi & ki-anga Mrusi amisha mzidi USA,kiuchumi ndio huko China anaenda kumpiku ni swala la muda atanguka jumla jumla.
Hiyo ya kuwa watu wa race zote kwenda hata ikitokea Tanzania Leo ndio super power kila mmoja atataka kuja, kama ilivyo Dar es Salaam.
Weka weweHaujaweka ya china?
Kama walivyoamini Poo Tin ataingia Kyiv ndani ya masaa 72Mleta mada hivi unajua kuna watu waliamini jiwe hawezi kufa?
Uwe watumia akiliAsante kwa kutema facts vijana wanadhani kuwa U.S.A ndio taifa la kwanza kuwa taifa lenye nguvu duniani kumbe yamepita mengi tu na yatakuja mengi tu .uyo U.S.A mwenyewe kapigwa gap na mchina kwenye Mambo kadhaa yamebaki Mambo machache mchina amovertake mmarekani especially kwenye uchumi na ushawishi
Alijaribu akashindwa ndo maana sasa hatawali, ndo maana nilisema kamwe dunia haiwezi kutawaliwa race moja. Wamarekani ni combination ya damu ya dunia nzima, Marekani kutawala dunia ni sawa na kwamba dunia inajitawala. Mfano leo ukitawaliwa na mchina ni kutawaliwa na race moja, damu moja. Angalia viongozi na maafisa wa Taasisi za Marekani afu linganisha na China, Russia, Japan, Saudia, ama nchi yoyote Ile.Mbona Uingeleza aliweza?
Kuna kitu hapaAlijaribu akashindwa ndo maana sasa hatawali, ndo maana nilisema kamwe dunia haiwezi kutawaliwa race moja. Wamarekani ni combination ya damu ya dunia nzima, Marekani kutawala dunia ni sawa na kwamba dunia inajitawala. Mfano leo ukitawaliwa na mchina ni kutawaliwa na race moja, damu moja. Angalia viongozi na maafisa wa Taasisi za Marekani afu linganisha na China, Russia, Japan, Saudia, ama nchi yoyote Ile.
Asee kama hii ni kweli basi ujue ni hatari kwa US.USA anaitawala Dunia kupitia hela yake,kitu ambacho Nchi nyingi zinaanza kukataa mfumo huo.
Watu wanaongozwa na mahaba sio uhalisiaUnasema China hana madhara kwa U.S.A? Una uhakika na unacho zungumza mzee
FactAsee kama hii ni kweli basi ujue ni hatari kwa US.
Sema ujue nini!! utawala wa US hapa kwa planet sio currency yake pekee.Guess what!! US ana influence katika hii planet katika haya maeneo,technology(hapa jaribu kidogo tu uangalie katika info.tech usiangalie industrial tech.Kampuni kama Meta,IBM,ALPHABET,Paypal,Apple inc na kuendelea zote either ownership yake ni Wamarekani au zinamaskani na operation zake nyingi ni huko)
Angalia kwa mfano kwenye michezo pamoja na burudani(ukitoa football ambayo Uk,Spain,Germany,France na Italy wanautawala mkubwa, basi michezo mingine yote karibia US ana ushawishi mkubwa kupita hao wanaodhaniwa kuja kuchukua status yake.Mfano,Basketball,NBA unaona ushawishi wake,Rugby,Wrestling nenda kwenye Music industry najua ni rahisi sana kutaja wasanii kutoka US ila task hii ukipewa utaje wachina sidhani kama utaeleweka hapa).
Mwisho kabisa kwanini inakuwa ngumu ata China kumbwekea US,ni kwasababu uchumi au niseme ustarabu wa Mchina uko embedded na kile tunaita American culture.Just imagine,China anapiga hatua katika technology lakini hawezi kumarket product zake duniani bila kuzipa label au kudocument katika lugha ya Kiingreza(hii ina maana kwamba China bado sio independent katika aspect tunaita culture i.e refer to language that China use to market their products worlwide).Hii naweza kusema haina tofauti na mtoto ambaye bado yupo kwa baba yake kapatiwa chumba tu cha kuishi lakini kila kukicha anatunisha misuli kwa baba yake(Hii nikimanisha mtoto kumkosea baba yake heshima)
Na Marekani itatawala kwa muda na yeye ataanguka kama walivyo anguka wengine lakini itachukua muda kidogo.Alijaribu akashindwa ndo maana sasa hatawali, ndo maana nilisema kamwe dunia haiwezi kutawaliwa race moja. Wamarekani ni combination ya damu ya dunia nzima, Marekani kutawala dunia ni sawa na kwamba dunia inajitawala. Mfano leo ukitawaliwa na mchina ni kutawaliwa na race moja, damu moja. Angalia viongozi na maafisa wa Taasisi za Marekani afu linganisha na China, Russia, Japan, Saudia, ama nchi yoyote Ile.
Uhalisia Mchina anachomzidi US ni idadi ya watu tu, kirasirimali, teknologia, kiutamaduni, nk kote huko mchina anakaa. Nadhani unajua jinsi utamaduni wa kimarekani ulivyoteka dunia.Watu wanaongozwa na mahaba sio uhalisia
Lakini still ni tishio kwake japo hajampiku lakini ni tishio kwake kiasi kwamba anatafta hadi njia za kumfunga speed governorUhalisia Mchina anachomzidi US ni idadi ya watu tu, kirasirimali, teknologia, kiutamaduni, nk kote huko mchina anakaa. Nadhani unajua jinsi utamaduni wa kimarekani ulivyoteka dunia.
Kuna kitu nimejifunza hapa.Alijaribu akashindwa ndo maana sasa hatawali, ndo maana nilisema kamwe dunia haiwezi kutawaliwa race moja. Wamarekani ni combination ya damu ya dunia nzima, Marekani kutawala dunia ni sawa na kwamba dunia inajitawala. Mfano leo ukitawaliwa na mchina ni kutawaliwa na race moja, damu moja. Angalia viongozi na maafisa wa Taasisi za Marekani afu linganisha na China, Russia, Japan, Saudia, ama nchi yoyote Ile.
Sidhani kama vijana wanafahamu ilo?Kwanza China inaidai Marekani matrilion ya dollar alizowakopesha.