4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 8,586
- 7,568
siku hz watu wana mfumo mpya wa kukutawala ambayo huenda ni hatari na ni ngumu kujikwamua , mfumo wa akina Uingereza na Ufaransa ni old fashioned , Amka bro , ss hv watu wanachagua wanaenda wap na kufuata nn ? na kina umuhimu gan kwao ? Huo mfumo wa zaman ulikuwa unawacost sana maana wanatoa ela kufanya ujenz wa miundombinu ambayo wataiacha bila kuwa na faida nao ila ss hv unaomba mkopo wa kujenga mradi wa reli pia ela unawalipa wao wajenge hiyo reli kisha wanakuendesha kupitia deni lao ( akil kwa mukichwa )Kwani U.S.A anatawala nchi ngapi mfano Uingereza alivyotawala karibia nusu ya dunia ? Nitajie angalau mataifa 10 yaliyo chini ya amri ya U.S.A Kama ilvyokuwa kwa Muingereza, Ujerumani, Egypt,Roman Empire , Greece