Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out, hela za lace wig, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena...sasa wewe kaka yangu kujali unadhani ni kujiunga extreme na kuanza kummiminia mimeseji kuanzi asubuhi had ucku, mara bebi umekunywa chai? umevaa nini? bebi umeshakula lunch? beb umelala? beb mbona kimya? wenzio wanatuma hela mpesa then msg inafata ''beby nenda kale'', kwa style hii ukichapiwa kua mpole kama umepata division 5.
Kweli Jf ni choboko