Hivi kweli hii ndio maana ya kujali??

M.E.M.A

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,373
472
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out, hela za lace wig, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena...sasa wewe kaka yangu kujali unadhani ni kujiunga extreme na kuanza kummiminia mimeseji kuanzi asubuhi had ucku, mara bebi umekunywa chai? umevaa nini? bebi umeshakula lunch? beb umelala? beb mbona kimya? wenzio wanatuma hela mpesa then msg inafata ''beby nenda kale'', kwa style hii ukichapiwa kua mpole kama umepata division 5.
 
unawaza kuchuna chuna tu....c na wewe utafute vyako,kwani mpaka uwe unapewa tu?
 
kwani ni lazima atoe hata ww waweza toa vilevile, dawa yenu ni kufanya papuch sanaaa hata ukizingua unasepa sio mbaya
 
Hata kupata meseji ya mpenzi wako ya kukujulia hali ni kukujali pia..!

Mwanamke anayekupenda kwa dhati kwake utu ni muhimu zaidi ya hizo pesa..!
 
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out, hela za lace wig, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena...sasa wewe kaka yangu kujali unadhani ni kujiunga extreme na kuanza kummiminia mimeseji kuanzi asubuhi had ucku, mara bebi umekunywa chai? umevaa nini? bebi umeshakula lunch? beb umelala? beb mbona kimya? wenzio wanatuma hela mpesa then msg inafata ''beby nenda kale'', kwa style hii ukichapiwa kua mpole kama umepata division 5.
Hapo kene mirangi hapo, inamana wewe unaingia kene mahusiano ili utumiwe MPESA mahela? kwa taarifa yako hakatwi ntu hapa.
 
kwa hali hiii hakika mtaishiwa kuliwa kabang/TIGo mpaka mchanike .
mnapenda sana slope
kaeni mkijua hakuna cha bure
 
Mkatae msikatae Penzi la kimasikini linakera! unajiunga exterem kutuma sms na mwenzio huku hana hela ya kutengeneza nywele huna msaada wa material ila moral tu inabore!
mnakutana hawezi kukununulia hata maji ya kunywa eti mapenzi! kujali ni pamoja na kutoa mali zako si muda na mawazo tu!!!!!!!!!!
 
ww M.E.M.A kwa hiyo m2 akikufariji kwa matatizo ulopata haina maana? Bt aki2ma hela kwa Mpesa hapo ndo kakujali!!? Nina mijibwa yangu miwili nikiku2mia pesa kadhaa naamini mbwa wangu wataenjoy K pamoja na 0713 yako, coz ur prefer money to human dignity. daa! Umaskini ni ki2 kibaya xana.
 
Last edited by a moderator:
lizika na hali mbona ww hauna na yeye asikose ana nini "mapenzi ya kibabu hayooo"even us we need a gel who has a good plan sina atanipa support sio bek3 utapgwa mitama xana na mateja
 
Mkatae msikatae Penzi la kimasikini linakera! unajiunga exterem kutuma sms na mwenzio huku hana hela ya kutengeneza nywele huna msaada wa material ila moral tu inabore!
mnakutana hawezi kukununulia hata maji ya kunywa eti mapenzi! kujali ni pamoja na kutoa mali zako si muda na mawazo tu!!!!!!!!!!

love is two way traffic. you scratch my back, i scratch yours. true love is unconditional. stop this mental enslavement
 
Kwani kujali lazma hela ihusike?
I have friend anajali sana najihisi tajiri...
Cc BAK lol
 
Attachments

  • 1383415487223.jpg
    1383415487223.jpg
    18.2 KB · Views: 161
Last edited by a moderator:
Hongera zako kwa kuwa na rafiki anayekuwezesha ujihisi ni tajiri, bila shaka nawe utakuwa unamjali sana. By the way don't forget to "kuchakarika" lol!!!! As per Dr MziziMkavu's thread.

Kwani kujali lazma hela ihusike?
I have friend anajali sana najihisi tajiri...
Cc BAK lol
 
Last edited by a moderator:
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha anasimamia show muhimu kama kumtoa out, hela za lace wig, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena...sasa wewe kaka yangu kujali unadhani ni kujiunga extreme na kuanza kummiminia mimeseji kuanzi asubuhi had ucku, mara bebi umekunywa chai? umevaa nini? bebi umeshakula lunch? beb umelala? beb mbona kimya? wenzio wanatuma hela mpesa then msg inafata ''beby nenda kale'', kwa style hii ukichapiwa kua mpole kama umepata division 5.
Daaaah! umeongea point leo, utasema unalipwa vile.... ila sio vibaya lakini, kama mkwanja ni hafifu its better ukajiunga xtream ukachat kuliko kutokufanya hivo. Mapenzi hayana formula, wengine walipata majiko bila hata kutoa mahari. sembuse kutomtoa out.... hiz swagger zingine za kizungu wengine traditionalists ... viatu sendeu, kinywaji mbege, nguo kitenge, out chini ya mwembe, usafiri baiskeli, ila tupo fresh wala hatuchapiwi hahahahaha
 
Lol yaleyalee, mwanamke mpenda pesa ujue kwao ni maskini, kakulia shida mpaka kaona ukombozi ni kugeuza papuchi na tgo maduka ya mpesa.
Solvepoverty.Com
 
love is two way traffic. you scratch my back, i scratch yours. true love is unconditional. stop this mental enslavement

I say true love is very conditional. Why do I say that?

Well, let's look at what 'unconditional' means.

Unconditional means without any conditions or limits.

Now do you really want your man/woman behaving and acting without any conditions or limits?

Does he or she have carte blanche do anything (cheating included)?

If the answer is no, then that love is obviously very conditional!

But if the answer is yes, then that love is unconditional.
 
Hongera zako kwa kuwa na rafiki anayekuwezesha ujihisi ni tajiri, bila shaka nawe utakuwa unamjali sana. By the way don't forget to "kuchakarika" lol!!!! As per Dr MziziMkavu's thread.

Yeah nampenda sana mwenyewe....hahhahaha kuchakarika lazima tufe kwa mengine tu ila sio heart attack lol..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kwani kujali lazma hela ihusike?
I have friend anajali sana najihisi tajiri...
Cc BAK lol
Rafiki wa ukweli utamjuwa wakati una shida farkhina hujambo mdogo wangu?

Hongera zako kwa kuwa na rafiki anayekuwezesha ujihisi ni tajiri, bila shaka nawe utakuwa unamjali sana. By the way don't forget to "kuchakarika" lol!!!! As per Dr MziziMkavu's thread.
cc BAK umepata rafiki mzuriş naye farkhina
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom