Hii sio kweli.Kitendo cha kukosa mwili huwa kinawavuruga sana, muda wote huwa wanahisi kama wameonewa! Hivyo huwa full stress kila wakati ni sawa na watu wafupi huwa wanahisi kama wanadharauliwa kutokana na ufupi wao!!
Usikute na roho mbaya nayo itanenepaNitajitahidi kunenepa....
Kupitia Kagame nakuamini kabisa mleta mada.Watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana Wabinafsi mnoo kupita maelezo kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya isee watu walionyimwa mwili ni watu tofauti sana wana roho za ajabu sana yani sio Wivu, Chuki, Roho Mbaya, Wabinafsi, Wambea na wachonganishi
Kama jirani yule, kakakamaaa kwa roho mbayaWatu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana Wabinafsi mnoo kupita maelezo kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya isee watu walionyimwa mwili ni watu tofauti sana wana roho za ajabu sana yani sio Wivu, Chuki, Roho Mbaya, Wabinafsi, Wambea na wachonganishi