Ni kwanini watu wanaotuona tuna roho mbaya wakipatwa shida au changamoto hukimbilia kwetu kuliko wale wanawaona wana nzuri

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Hiki kitu huwa najiulizaga sana kuna aina fllani ya watu Hao siku zote wao huwa kuna watu huwa wanawatizama kuwa ni watu wenye roho mbaya

Yaani full kuwasema vibaya, full kuwachukia, full kuwaombea mabaya , full kukutendea mabaya

Lakini inapotokea aina hii ya watu wanapitia wakati mgumu au wana changamoto kimbilio Lao la kwanza ni kuwa face watu wanawachukia waweze kuwasaidia ni kipindi ambacho moyo wake unaona wewe ndio mtetezi wake .

Je ni tatizo hupelekea hivoo mtu anaekuchukia kukuona wewe ndo kimbilio lake wakati wa shida

Sasa kama ni na roho mbaya why mtu akufanye ww ndio kimbilio lake kwanini watu anawaona wana roho nzuli asiwafate wamsaidie kuliko mimi mwenye roho mbaya
 
Roho mbaya mda mwingine ni myths,

Neno hilo hutumiwa na mwenye shida kuhalalisha ulazima wa kusaidia,

Roho mbaya huonekana kwa yule yule unayeamini ndio mwenye msaada,

Roho mbaya hutamkwa na mwenye njaa anapozidiwa na kutaka kulazimisha mambo

Roho mbaya ni mbaya kweli pale unapomfanyia jirani ubaya.
 
Aiseee

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Shida zinawafanya watu kuwa machawa na shida hizohizo huwa zinaondoa aibu ya mtu ili kupata msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom