Diaspora wa Tanzania wana roho mbaya

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Miongoni mwa watu wanaopambana kwenda abroad niko.

Itoshe kusema diaspora wa kitanzania wana roho mbaya sana.

Hawaelezi ukweli njia za wazi mtu unaweza kufika huko.

Hawako tayari kukusaidia mbinu au hata kukuunganisha na agents pale inapobidi.

Wamekalia kusema sisi tulio Tanzania tunawaomba hela.

Tujiulize kwanini wenzetu kenya,uganda wako wengi abroad tofauti na Tz na ndipo utakapogundua roho mbaya kwa waliotutangulia
 
Shida inaanzia hapa Tanzania kama Tanzania hatuna mawakala wa kutafutia watu kazi nje ya nchi ndomaana waliopo uko wanashindwa watakusaidia he?

Uwaliowengi wameenda kwa njia ya masomo nabwengine kipelekwa na ndungu sio kama kenya na uganda wao serikali yao ina mikatamba na mawakala wa nje ya nchi ndomaana wao wanaenda sana mimi mpaka sasa nipo uganda so naziona ofisi nyingi zinazojiusisha na mambo ya kuunganisha watu kwenda kufanya kazi nilienda kenya pia nkazikuta Rwanda pia south Sudan pia
 
Miongoni mwa watu wanaoambana kwenda abroad niko.

Itoshe kusema diaspora wa kitanzania wana roho mbaya Sana.

Hawaelezi ukweli njia za wazi mtu unaweza kufika huko.

Hawako tayari kukusaidia mbinu au hata kukuunganisha na agents pale inapobidi.

Wamekalia kusema sisi tulio Tanzania tunawaomba hela.

Tujiulize kwanini wenzetu kenya,uganda wako wengi abroad tofauti na Tz na ndipo utakapogundua roho mbaya kwa waliotutangulia
Ungeweka mfano asilia.

Ulitaka kwenda wapi?
Ulijiandaaje?
Ulihitaji msaada gani ukakwama?
Hatua ulizofuata ni zipi?

Usije kuwa kama wasabato MASALIA walioenda airport na mabegi na kutaka kwenda ulaya bila document wala pesa yoyote....

Ni muhimu kuainisha vikwazo kwa uhalisia kuliko kuponda tu...
 
Miongoni mwa watu wanaoambana kwenda abroad niko.

Itoshe kusema diaspora wa kitanzania wana roho mbaya Sana.

Hawaelezi ukweli njia za wazi mtu unaweza kufika huko.

Hawako tayari kukusaidia mbinu au hata kukuunganisha na agents pale inapobidi.

Wamekalia kusema sisi tulio Tanzania tunawaomba hela.

Tujiulize kwanini wenzetu kenya,uganda wako wengi abroad tofauti na Tz na ndipo utakapogundua roho mbaya kwa waliotutangulia
Ni PM nikupe no ya agent
 
Ungeweka mfano asilia.

Ulitaka kwenda wapi?
Ulijiandaaje?
Ulihitaji msaada gani ukakwama?
Ulitaka kwenda nchi gani?
Hatua ulizofuata ni zipi?

Otherwise utakua umeingia kwenye mkumbo wa majungu...
Pia wapo wengine wanalilia kwenda nje ila haijui ata ofisi ya uwamiaji imeangalia wapi ata kwenda kuulizia utalatibu wa passport ajawai ila kila siku anamsumbua mtu nataka nije uko nitafutie plani wewe hiyo sio safari ya dar to arusha
 
Kaka sheria za nchi yako na mambo ya kukataa uraia pacha hakuna anaetaka wajamaa duniani
Sio lazima uwe résidence fully kuna île unakuwa tu na permit ya 10yr unakuwa unarenew but ukitaka passport yao ndo lazima uukate uTanzania kama sijakosea kueleza
 
Sio lazima uwe résidence fully kuna île unakuwa tu na permit ya 10yr unakuwa unarenew but ukitaka passport yao ndo lazima uukate uTanzania kama sijakosea kueleza
Sio rahisi kwenye wanaomba 1000 wanapata 20 tuu .sio watqnzania bali ndo mfumo .watanzania wamechelewa kuja ila wakenya waita kirahisi maana ni matajiri huku.usa sio manzese ni ghari
 
kuna member mmoja anajiita @perdiem huyu jamaa kazi yake kuturingisha mara yupo malmo mara norway lakini kutoa mchongo namna ya kufika huko hatakagi kabisa
 
Pia wapo wengine wanalilia kwenda nje ila haijui ata ofisi ya uwamiaji imeangalia wapi ata kwenda kuulizia utalatibu wa passport ajawai ila kila siku anamsumbua mtu nataka nije uko nitafutie plani wewe hiyo sio safari ya dar to arusha
Unaweza kuta huyo jamaa hata passport hana
 
kuna member mmoja anajiita @perdiem huyu jamaa kazi yake kuturingisha mara yupo malmo mara norway lakini kutoa mchongo namna ya kufika huko hatakagi kabisa
Hatuendag kutafuta maisha ni kuuza madini mtaji mlion 500 je tukuunge??
 
Utamjuwa Mtanzania kwa lawama. Manaake hata wakiletewa mitaji wajiendeleze wao na huyo alioko ulaya, wanafukiya kila kitu.

Mfano, mimi nina watumishi watatu na wote wanaelekea kuniharibiya mradi sababu ya ujinga na uvivu. Unapo chezwa mpira wao kazi hawataki piga uwa.

Namtafuta manager wa kuwasimamiya. Kila mmoja anauliza mshahara shingngapi kabla ya kuleta sifa zake

Wabongo jitazameni wenyewe na mapungufu yenu. Diaspora wanajitahidi sana ila nyie mnashindwa ku play your part.
Kazi mpira na ku bet.
 
Back
Top Bottom