Utafiti pori uko hivi!;Ndugu zangu naomba kuuliza hili swali maana nimetamani nimhamishe mwanangu shule hapa Dar aende tu Mbeya.
Hivi kwanini watu wa Mbeya wanaakili nyingi mitihani yote wanachukua kumi bora wao.
Inamaana hii mikoa mingine ni mbumbu au kuna nini
Hili swali mbona limeshajibiwa na Zanzibar-ASP hapo juu.Swali langu sasa je wanaokwenda hiyo mikoa mingine mbona wao hawafauru kama hao.
Mbeya inaongoza kwa umasikini mkubwa?.Hivi unajua mikoa inayoongoza kila mwezi ulipaji wa Kodi TRA.
Huyo mngemsamehe tu amesema kitu asichokijua hapo ukimuuliza hata hizi determinant za kupima huo umaskin kwa Individual na community bases sidhani kama atajua hizo gdp aje na evidence na published report kusapot alichosema mmsamehe tuMkuu Mbeya ipi inayoongoza kwa umasikini? Wewe utakuwa unatoka Kanda pendwa
Peleka mwanao naye apewe majibu apate 1Uongo huo hao shule nyingi za binafsi wnapewa majibu watt unakuta wamiliki Ndio hao wapo nacte nikujichotea majibu tu.
Hakuna top ten wanafunzi huwa lazma mnyakyusa awepo mmoja au wa tatu ni kanuniUkichunguza vizuri hao watoto wa hiyo shule utagundua wengi hawatokei Mbeya bali wamefuata shule fulani iliyojengwa Mbeya.
Wanambeya halisi wanasoma shule za day hapo Mbeya, sasa nenda kafuatilie matokeo yao halafu uje utupe mrejesho hapa.
Utakuwa ni wale wenye meno kama wanakula nnya wivu tu hamuwawezu wanyakyusa umaskini pambana na hali ya wazazi wakoCha ajabu unaongoza kwa umaskini tanzania
Watu wa Mbeya wana akili kwa asili yao na hilo hata wakoloni walilitambua!! Siri yao moja ni watu wa kujitambua na ndio maana wana mafanikio; sio watu wa kuchachawa!!Ukichunguza vizuri hao watoto wa hiyo shule utagundua wengi hawatokei Mbeya bali wamefuata shule fulani iliyojengwa Mbeya.
Wanambeya halisi wanasoma shule za day hapo Mbeya, sasa nenda kafuatilie matokeo yao halafu uje utupe mrejesho hapa.
Form two nao ni mtihani mkuu, tunataka mitihani ya form four na sixKwenye hii sample ndogo wanaotoka Mbeya ni wangapi?
Wanafunzi 10 bora form 2
1. Geovin Macha - Shule ya Jude Arusha
2. Moses Masome - Heritage Pwani
3. Pius Tairo - Tengeru Arusha
4. Henry Shelembi -Jude Arusha
5. Shilanga Malegi - Heritage Pwani
6. Loi Kitundu - Feza Girls - DSM
7. Joshua Leo - Tengeru Boys Arusha
8. Brian Chille - Marian Mkoa wa Pwani
9. Cornel Karoli - Jude Arusha
10. Elizabeth Msengi - St. Monica Arusha.
Mwaka huu Mikoa yenye wapigakura wengi kutoka Kanda Ya Ziwa imeangukia pia ndio maana serikali Kwa sababu za kisiasa hawajatoa top ten ya mikoa kama miaka mingine.Ndugu zangu naomba kuuliza hili swali maana nimetamani nimhamishe mwanangu shule hapa Dar aende tu Mbeya.
Hivi kwanini watu wa Mbeya wanaakili nyingi mitihani yote wanachukua kumi bora wao.
Inamaana hii mikoa mingine ni mbumbu au kuna nini
Kamwe hutokuja kuikita Mbeya kwenye umaskini.Cha ajabu unaongoza kwa umaskini tanzania