Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

GUSSIE,

..HONGERA kwa hiyo div 1 kali kabisa ya dogo.

Nina maswali matatu.

1. dogo alisoma shule ya msingi Dsm, au Mbeya, au kijijini?

2. je, dogo amepata div 1 kali kwasababu ya St.Francis au angefaulu hivyohivyo hata kama angesoma shule ya serikali?

3. ni asilimia ngapi ya wanafunzi wa St.Francis wanatoka ktk shule za msingi za mkoa wa Mbeya?
 
Unataka kusema mtoto wa ndugu yako alipata shule kwasababu aliremba muandiko au alifaulu interview? au kuremba muandiko ilikuwa sifa ya ziada?

Whatever the case, sasa naona kuna haja pawe na ziara za walimu na wanafunzi wa shule za serikali kwenda kujifunza kwa hizi shule za private zinazofanya vizuri, naamini hata walimu wa serikali nao wanazidiwa viwango na hawa walimu wa private.

Lakini ziara hizo zianze pale ambapo shule za serikali zitakuwa na walimu wa kutosha kwa kila somo, na angalau idadi ya wanafunzi ipungue kwa kila darasa ili mwalimu apate muda mzuri wa kufuatilia maendeleo ya kila mwanafunzi wa somo lake.
 
Shule yoyote ikijichagulia wanafunz inayowahtaj inapga one zote
... ni kinyume chake; wazazi ndio wanaoichagua na kwa kuwa demand ni kubwa kuliko supply wafanyeje kama sio mchujo? Na duniani kote vigezo vya mchujo vinafahamika.

Siku wazazi wakiipuuza St. Francis wakapeleka watoto wachache kufanya interview ya F1, 90 say, naamini wala hawatafanyishwa mtihani badala yake watakuwa admitted wote. Hebu tujaribu kufanya hiyo experiment tuone.

Tusiilaumu shule kwa "kujichagulia"; tujilaumu sisi kwa "kuishobokea".
 
GUSSIE,

..HONGERA kwa hiyo div 1 kali kabisa ya dogo.

Nina maswali matatu.

1. dogo alisoma shule ya msingi Dsm, au Mbeya, au kijijini?

2. je, dogo amepata div 1 kali kwasababu ya St.Francis au angefaulu hivyohivyo hata kama angesoma shule ya serikali?

3. ni asilimia ngapi ya wanafunzi wa St.Francis wanatoka ktk shule za msingi za mkoa wa Mbeya?
mmmh nje ya St Francis ni ngumu sana
 
mmmh nje ya St Francis ni ngumu sana

..ngoja tumsikie mwenye mtoto.

..kuna wakati shule humuinua mwanafunzi.

..lakini kuna baadhi ya wanafunzi haswa hawa wa pointi 7 huwa haijalishi amesema shule gani-- private, government, au seminary.
 
GUSSIE,

..HONGERA kwa hiyo div 1 kali kabisa ya dogo...
Maswali mazuri mno. Jibu murua asilimia kubwa mno wa shule top10 schools zote wanatokea mkoa wa Dar Es Salaam ambako kuna mchanganyiko wa makabila.

Ukitaka kushuhudia nenda kituo Kikuu cha kupakia na kushusha Msimbazi Centre. Kuna shule Moja inakuwa na mabasi 7 mpaka 8. Zidisha mara 57 seats.
 
... ni kinyume chake; wazazi ndio wanaoichagua na kwa kuwa demand ni kubwa kuliko supply wafanyeje kama sio mchujo? Na duniani kote vigezo vya mchujo vinafahamika...
Siyo kweli. Kuna shule Moja huwa wanachukua wanafunzi 120. Interview yake hiyo nyomi ni hatari wanaofanya mpaka elf 8 plus. Kuna kipindi walifanya interview Kwa vigezo vyao hawakupata wanafunzi 120 hivyo walichukua wanafunzi 90 Tu. Kifupi hawakubali kabisa kuchukua below cut off points zao.
 
..kwa hiyo shule hizo zinachukua wanafunzi vipanga watupu?
 
Maswali mazuri mno. Jibu murua asilimia kubwa mno wa shule top10 schools zote wanatokea mkoa wa Dar Es Salaam ambako kuna mchanganyiko wa makabila. Ukitaka kushuhudia nenda kituo Kikuu cha kupakia na kushusha Msimbazi Centre. Kuna shule Moja inakuwa na mabasi 7 mpaka 8. Zidisha mara 57 seats.

..wanafunzi toka maeneo ya jirani wanastahili kufaidika na uwepo shule hizo ktk maeneo yao.
 
Siyo kweli. Kuna shule Moja huwa wanachukua wanafunzi 120. Interview yake hiyo nyomi ni hatari wanaofanya mpaka elf 8 plus. Kuna kipindi walifanya interview Kwa vigezo vyao hawakupata wanafunzi 120 hivyo walichukua wanafunzi 90 Tu. Kifupi hawakubali kabisa kuchukua below cut off points zao.
Hapa napata picha moja, hizi shule huwa haziamini uwezo wa wanafunzi wanaofaulu kwa mitihani ya serikali kumaliza darasa la saba, hivyo nao huwa na mitihani yao yenye quality waitakayo ili mwanafunzi afaulu ndio wajiridhishe na kiwango chake cha kumpokea form one.

Naona hii ina advantage moja kubwa, kwasababu ukiangalia idadi ya wanafunzi wanaofaulu kwenda form kwa mitihani ya taifa hupungua pale wanapomaliza form four. Hivyo hawa jamaa huangalia ile cream nzuri kwa mitihani yao ya interview ili wawe na uhakika wakifanya mtihani wa form four muda utapofika lazima wafaulu, na ndicho kinachotokea.
 
Mimi Gussie Mkinga wa Makete huko na Mwana CCM imara nimewanyoshea mikono watu wa Mbeya Katika matokeo ya Kidato Cha nne ya mwaka 2021...
We jamaa nakuchukuia sana... hasa pale ulipokuja na uzi wako wa Kutetea Kikokoteo kipya cha Wafanyakazi... Acha Unafiki Bro... 90% ya ndugu zako ni wafanyakazi either sekta binafsi au serikalini
 
Back
Top Bottom