MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,650
- 48,415
Imekua kawaida kule Tanzania wao huchelewa kutekeleza chochote na kutuona ovyoo sisi tunaothubutu, hatimaye wanaishia kufanya mwisho mwisho tena kwa kuhaha.
Kwa mfano kitambulisho cha uraia walijifanya kukikataa enzi zile, lakini leo wanakimbizana kila mmoja akikitafuta awe nacho haswa baada ya tangazo la hivi majuzi kwamba laini za simu zitakatwa ikitokea hujachukuliwa alama za vidole ambayo pia masharti lazima uwe na kitambulisho aidha cha uraia au cha kura.
Tulipochangamkia kingereza kwa kuhakikisha Wakenya wamekua wajanja wa lugha ya kiswahili na kingereza zikiwemo zetu za asili, wakatuita watumwa wa ukoloni kisa tunaongea kingereza, na pia washamba kisa tunaongea lugha zetu za asili.
Wakaibuka na dhana kwamba kujua kingereza sio kipimo cha elimu na kujifanya kutokujua umuhimu wa lugha ya kingereza kwa dunia ya leo ambapo mataifa yote yakiwemo China, Urusi n.k. yapo mbioni kuhakikisha raia wao wanazungumza kingereza, maana ndio lugha ya biashara duniani.
Leo hii ukienda pale Dar, shule zimefunguliwa nyingi za english medium zinafundisha watoto kingereza, wajanja wenye hela wamepeleka watoto wao huko ilhali walalahoi wameambiwa wakomae na uzalendo wa kiswahli kwenye shule za saint Kayumba mitaani.
Kwao matangazo ya biashara na ajira unakuta kwenye vigezo imeandikwa lazima anayeomba fursa au nafasi awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika kingereza kwa ufasaha.
Kingereza huwatesa sana, unakuta kiongozi, waziri, mkurungezi, jaji n.k. hawezi kujieleza kwenye kongomano la kimataifa, anatetereka na kuyumbayumba ze ze ze
Kuna hili la kufungua soko la Afrika kwa mataifa yote ya Afrika kuungana na kuwa soko moja, wengine tumeungana na mikakati inaendelea kuratibisha, Tanzania imenuna na kawaida wamejilinda kwa kauli zao zile za kawaida, sitashangaa wakija mbio siku za usoni wakitafuta nafasi, ila ndio hivyo, haiwezekani ukabarikiwa na kila kitu, kuna watu wengine ability to analyse and process details huwa very slow.