Hivi kwanini Watanzania huwa mnaanza na kiburi ila hatimaye mnaishia kuiga Wakenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,387
2,000
Imekua kawaida kule Tanzania wao huchelewa kutekeleza chochote na kutuona ovyoo sisi tunaothubutu, hatimaye wanaishia kufanya mwisho mwisho tena kwa kuhaha.

Kwa mfano kitambulisho cha uraia walijifanya kukikataa enzi zile, lakini leo wanakimbizana kila mmoja akikitafuta awe nacho haswa baada ya tangazo la hivi majuzi kwamba laini za simu zitakatwa ikitokea hujachukuliwa alama za vidole ambayo pia masharti lazima uwe na kitambulisho aidha cha uraia au cha kura.

Tulipochangamkia kingereza kwa kuhakikisha Wakenya wamekua wajanja wa lugha ya kiswahili na kingereza zikiwemo zetu za asili, wakatuita watumwa wa ukoloni kisa tunaongea kingereza, na pia washamba kisa tunaongea lugha zetu za asili.

Wakaibuka na dhana kwamba kujua kingereza sio kipimo cha elimu na kujifanya kutokujua umuhimu wa lugha ya kingereza kwa dunia ya leo ambapo mataifa yote yakiwemo China, Urusi n.k. yapo mbioni kuhakikisha raia wao wanazungumza kingereza, maana ndio lugha ya biashara duniani.

Leo hii ukienda pale Dar, shule zimefunguliwa nyingi za english medium zinafundisha watoto kingereza, wajanja wenye hela wamepeleka watoto wao huko ilhali walalahoi wameambiwa wakomae na uzalendo wa kiswahli kwenye shule za saint Kayumba mitaani.

Kwao matangazo ya biashara na ajira unakuta kwenye vigezo imeandikwa lazima anayeomba fursa au nafasi awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika kingereza kwa ufasaha.

Kingereza huwatesa sana, unakuta kiongozi, waziri, mkurungezi, jaji n.k. hawezi kujieleza kwenye kongomano la kimataifa, anatetereka na kuyumbayumba ze ze ze

Kuna hili la kufungua soko la Afrika kwa mataifa yote ya Afrika kuungana na kuwa soko moja, wengine tumeungana na mikakati inaendelea kuratibisha, Tanzania imenuna na kawaida wamejilinda kwa kauli zao zile za kawaida, sitashangaa wakija mbio siku za usoni wakitafuta nafasi, ila ndio hivyo, haiwezekani ukabarikiwa na kila kitu, kuna watu wengine ability to analyse and process details huwa very slow.
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
9,435
2,000
Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.

Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani.

Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling.

But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled.

But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english.

You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.

Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
15,623
2,000
Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.

Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
Nchi za kiume tu ndio zinatumia lugha zake za asili kama lugha za mawasiliano.kama mwanaume anavyotumia ubini wa ukoo wake.

Naye mwanamke hutumia ubini wa mumewe, kama taifa linalotumia lugha isiyo ya asili yake.

Kwahiyo kwenye hili usishangae nchi za kike zina kuwa na uoga sana mtu anapokosea lugha isiyo yake.
 
smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
1,501
2,000
Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.

Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
 
komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
10,119

si ajabu mtoto wako umpeleka katika shule za english medium hapo dar..kisha unakuja hapa kuongea upupu mtupu...bwahahaaaa...

naona siku hz mpka walala hoi wanajikakamua ili watoto wao wakasome katika shule za english medium...
alafu nenda kasake kitambulisho bro.
.sisi tuwache na huduma number...hko tunapatoka tu taratibu..haki ya nani..mtafuata nyayo za wakenya mpka ile siku dunia itaisha...nynyi msijiongeze tu kaeni mkiangalia ya kwamba kenys kuna nn,wamefanya nn..bwahahaaa
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
4,513
2,000
Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.

Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
Hii ni mara ya kwanza kukuona ukiandika kiingereza kilichonyooka kama upara wa mzee Moi. Kumbe jamaa umesoma lakini huwa unajifanya zumbukuku, kazi ni kuchekacheka kama mwanamke anayepapaswa.
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
9,435
2,000
Hii ni mara ya kwanza kukuona ukiandika kiingereza kilichonyooka kama upara wa mzee Moi. Kumbe jamaa umesoma lakini huwa unajifanya zumbukuku, kazi ni kuchekacheka kama mwanamke anayepapaswa.
Sasa hayo ni matusi bwana mdogo, mimi si zumbukuku na wala sicheki cheki kama wanawake. Mimi hucheka "Ahaa haa ha ha ha" katika sauti nzito mithiri ya sauti ya jini wa Bahari ya kusadikika.
Siyo uungwana kuwatukana watu waliokuzidi umri. Heshima ni kitu cha bure.

Lingine ambalo bado ndiyo tatizo lenu wakenya. Badala ya kufikiria maudhui na mantiki niliyowasilisha kwa hadhira hii. Wewe bado unaangalia kiingereza nilicho andika. Bwana mdogo, mimi kwangu kiingereza siyo issue, but the knowledge, innovation and creativity. Hivyo ndiyo navipa kipaumbele na hata dunia inavipa kipaumbele.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,387
2,000
Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.

Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
Hehehe povu full, kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu hujaanza na kule kucheka cheka kwako, kweli hii imekuingia.
Kama kawaida nilitegemea mtakuja na hizi blah blah zenu za kingereza sio elimu, mara sio akili mara ni lugha tu kama kimakonde, mara ni cha malkia, mara ukoloni, ndio zenu huwa hata hazinipi tabu.
Lakini ukweli uko pale pale, kwa nyie kushindwa kuzungumza kingereza kinawapa tabu sana na kuwatesa, hilo nimeliona kwenu sio kuambiwa na mtu vijiweni, huna lolote unaloweza kusema libadilishe huo ukweli, kizazi chote cha enzi ya Nyerere na hadi hivi majuzi huwa mnateseka sana kwa kushindwa kukizungumza.
Watoto wenu siku hizi mnawapeleka English hususan kuanzia utawala wa Kikwete, hivyo madogo wengi wa kuanzia miaka 25 kurudi nyuma wako nafuu kidogo na ndio watawakwamua kwa siku za usoni, ila wengine wote nyie ndio kama hivyo, kilishawapiga chenga. Mibaba wengi hata mkienda evening classes bado chenga maana lugha lazima huwa bora ukianza kuitumia tangia utotoni.
Nilikua nasoma uzi huu hapa chini ambapo inasemekana majaji wengi wanawafunga jela Watanzania bure maana wao majaji kingereza kinawapa chenga, kuna hata hukumu zinaandikwa na mawakili https://www.jamiiforums.com/threads/majaji-wa-tanzania-hawajui-kiingereza-tundu-lissu.347785/
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,387
2,000
Kwahiyo tz kuna mihela.

Mihela ya kenya ako nayo nani
Wakenya wengi huja kukwapua mihela huko maana ushindani ni zero, nyie neno 'kujituma' ni mwiko kwenu, hivyo Mkenya akija anakua kama simba kwenye zizi la mifugo, mkao wa kula tu maana hamna ushindani na ndio maana serikali yenu imewalinda sana nyie kwa kufanya vibali kuwa ngumu kupatikana.
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
9,435
2,000
Hehehe povu full, kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu hujaanza na kule kucheka cheka kwako, kweli hii imekuingia.
Kama kawaida nilitegemea mtakuja na hizi blah blah zenu za kingereza sio elimu, mara sio akili mara ni lugha tu kama kimakonde, mara ni cha malkia, mara ukoloni, ndio zenu huwa hata hazinipi tabu.
Lakini ukweli uko pale pale, kwa nyie kushindwa kuzungumza kingereza kinawapa tabu sana na kuwatesa, hilo nimeliona kwenu sio kuambiwa na mtu vijiweni, huna lolote unaloweza kusema libadilishe huo ukweli, kizazi chote cha enzi ya Nyerere na hadi hivi majuzi huwa mnateseka sana kwa kushindwa kukizungumza.
Watoto wenu siku hizi mnawapeleka English hususan kuanzia utawala wa Kikwete, hivyo madogo wengi wa kuanzia miaka 25 kurudi nyuma wako nafuu kidogo na ndio watawakwamua kwa siku za usoni, ila wengine wote nyie ndio kama hivyo, kilishawapiga chenga. Mibaba wengi hata mkienda evening classes bado chenga maana lugha lazima huwa bora ukianza kuitumia tangia utotoni.
Nilikua nasoma uzi huu hapa chini ambapo inasemekana majaji wengi wanawafunga jela Watanzania bure maana wao majaji kingereza kinawapa chenga, kuna hata hukumu zinaandikwa na mawakili https://www.jamiiforums.com/threads/majaji-wa-tanzania-hawajui-kiingereza-tundu-lissu.347785/
Ahaaa haaa haaa
Sikiliza bwana mdogo. The way you praise English, it is like you are next to engels.
You are always deceiving yourselves that, since you are capable to utter some words in English you look like queen's people.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,387
2,000
Ahaaa haaa haaa
Sikiliza bwana mdogo. The way you praise English, it is like you are next to engels.
You are always deceiving yourselves that, since you are capable to utter some words in English you look like queen's people.
Bora hivyo sasa umerudi kwenye kucheka Cheka na mipasho nafuu maana povu itakupa presha, ila ukweli unabaki pale, kutokujua kuongea kingereza kunawatesa sana.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
4,513
2,000
Sasa hayo ni matusi bwana mdogo, mimi si zumbukuku na wala sicheki cheki kama wanawake. Mimi hucheka "Ahaa haa ha ha ha" katika sauti nzito mithiri ya sauti ya jini wa Bahari ya kusadikika.
Lingine siyo uungwana kuwatukana watu waliokuzidi umri. Heshima ni kitu cha bure.

Lingine ambalo bado ndiyo tatizo lenu wakenya. Badala ya kufikiria maudhui na mantiki niliyowasilisha kwa hadhira hii. Wewe bado unaangalia kiingereza nilicho andika. Bwana mdogo, mimi kwangu kiingereza siyo issue, but the knowledge, innovation and creativity. Hivyo ndiyo navipa kipaumbele na hata dunia inavipa kipaumbele.
Sawa nimekupa heshima yako ba mkubwa
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,962
2,000
Hamna sehemu ambayo huwa nakudharau na kukuona una exposure ndogo kama kupima uwezo wa mtu kwa kutumia kiingereza.
Juzi nilikuwa naangalia kipindi fulani katika channel inaitwa CCTV ya china walikuwa wakijadili kadhia ya rushwa katika kujiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Walimuunganisha Le Profeser mmoja toka Ufaransa, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu nchini humo alikuwa akiongea a very basic english language, is and was... he was actually struggling. But he was not feeling sorry for not being fluent in the queen's language. This same applies to Chinese, Japanese, Russians, even the people of continental europe or scandinavia, everywhere I travelled. But for you Kenyans, you feel speaking english is elevating you to angelhood. You feel nothing is moving ahead without english. You are self - deceiving that you are above average simply because you can utter some words in queen's language.

Tembea uone hiyo kiingereza unayoiabudu kama ipo ujerumani au norway.
Achana na huyo ana uelewa finyu sana kama bado hujamjua, anasema kwamba kwenye English Tanzania ilikataa kufundisha kwa English na shule zinazofanya hivyo ni private schools {English Medium}

Najiuliza ni lini serikali ilikataa kufundisha kwa English wakati kuanzia form 1 mpaka University lugha inayotumika kufundishia ni English kuanzia kwa private school na public schools, hapo ndio utajua hata anachozungumza hakielewi.
 
Top Bottom