Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
Eh, mniache
Nimalizane na Birthday yangu
Me.maswali mengine sina majibu
Kuna mrembo ameulizq hapa

Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very selfish

Kwenye mechi wabovu

Kwenye ndoa wana roho mbaya sana kwanini lakini?

Hili swali niliulizwaga zamani sana miaka ya 70 na jirani yangu, mwisho wa siku aliolewa na mwanaume mweusi, tangu alipoolewa yule mwanaume mweupe hajawahi kuoa mpaka wa leo mwaka 2025 na hana mtoto

Haya weupe na weusi muungane hapa mje mjibu swali la mrembo
 
Hahahahaaa noma sana.
 
Nina ndugu yangu wa kiume mweupee ana miaka 38 sasa hajawahi oa, hana mtoto, hata mchumba hana. Ana kazi ya kuwadharau sana wanawake hasa weusi. Kila.mwanamke.anamuona mbaya hasa baada ya kulala nae. December kwenye kikao cha familia aliulizwa kama angalau ana mtoto familia imjue hata likitokea lolote imuhudumie jamaa akasema hana mtoto yeyote. Tulimpa jukumu la kutuletea mke December hii lakini mpaka hapa ninavyojua hatafanikiwa😀
 
Back
Top Bottom