Hivi kwanini wanaume wa Tanzania ni wafupi sana?

19yrs old...... Subiri ufikishe 25 utawaona wanaume wa tz warefu mnooo.

Vp ushaacha kamchezo ka kuangalia wanaume wanaopumuliwa?




Unforgetable
 
kwako ufupi ni futi ngapi na urefu ni futi ngapi?
Kila nikiangalia video youtube nakutana na wanaume wafupi tu, instagram kila mwanaume anae post picha ni mfupi. Hivi tanzania hakuna wanaume warefu? Kwani mnakula nini mpaka hamrefuki? Raha ya mwanaume awe mrefu ndio anapendeza hata kama ukisimama nae anakuzidi urefu sio mwanaume mfupiii kama mtoto mdogo. Halafu wanaume wafupi hawana mvuto hata wakivaa hawapendezi. Mimi mwanaume akiwa mfupi hata anipite miaka zaidi ya 20 namuona kama mdogo wangu tu.
 
.
tapatalk_1573453842455.jpeg
 
Back
Top Bottom