Hivi kwanini wanaume wa Tanzania ni wafupi sana?

Ongezea na hii mkuu.....

Huyu hayuko sawa upstairs.
Screenshot_20191112-135640.jpeg
 
Kila nikiangalia video youtube nakutana na wanaume wafupi tu, instagram kila mwanaume anae post picha ni mfupi. Hivi tanzania hakuna wanaume warefu? Kwani mnakula nini mpaka hamrefuki? Raha ya mwanaume awe mrefu ndio anapendeza hata kama ukisimama nae anakuzidi urefu sio mwanaume mfupiii kama mtoto mdogo. Halafu wanaume wafupi hawana mvuto hata wakivaa hawapendezi. Mimi mwanaume akiwa mfupi hata anipite miaka zaidi ya 20 namuona kama mdogo wangu tu.
Duhh! Hiyo ni kazi ya Muumba. Uwe mrefu, mfupi, mweupe au mweusi si matakwa yako bali umejikuta uko hivyo. Hata hivyo kila mtu ana taste yake. so you are not 'standard unit' (SU) kwa kupenda. ndo maana utakuta kuna wababa wanapenda wamama wenye nyonyo kubwa, wengine wanapenda wembamba, wemgine wanapenda wenye mawowowo, huku wengine wanapenda wenye mtindi, huku wengine akina mimi napenda nyonyo nyembamba. Hiyo ni calculation ya Mungu.
Alipenda kila mtu na 'taste yake'.
 
Back
Top Bottom