Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
mkuu kulikoni tena kuna aliyekutolea mbovu???
Hebu tupe mfano wa hao wabeba box wenye dharau
Hebu tupe mfano wa hao wabeba box wenye dharau
na nitajuaje fulani ni mbeba box kwa fake ID?
na nitajuaje fulani ni mbeba box kwa fake ID?
Gaijin subiri wataingia tu hapa utawaona maneno yao
Mimi natazama sana michango yao ilivyojaa dharau kama akijua anaebishana nae yuko kwa nyerere lazima ataonyesha dharau tu
bora hata JF mkuu, kuna kipindi kwenye blog ya michuzi comments zilikua zimejaa kebehi na zilikua zinatolewa sana na watu waliopo nje....
Ila ndio hivyo mkuu maskini akipata ****** hulia mbwata.
Lakini kweli watanzania wabishi sana hebu tutembee kwanza tuione dunia ndo tuje tubishane...
Unakuta jitu bishi kama nini wakati hata morogoro halijawai kufika..
Also kuna wengine wapo kenya, malawi, zanzibar etc nao wanajiiita wabeba mabox, sasa sijui wanabeba kwenye bus terminal au kwa wahindi?
Kuna baadhi ya wabeba box hapa JF wamejaa dharau sana nakuwaona kama waliopo home hamnazo ila wao washavuka maji ndio wana akili acheni tabia za kipuuzi hizo kuishi nje ya nchi sio kuwa unajua kila kitu ,
Uswahili na wivu huo mkuu. We kausha tu na jua lako la TZ kama hauna uwezo wa kwenda mbele' unazani wote waliopo ughaibuni ni wa beba ma box?
Mkuu hata ungekuwa unafanya kazi ofisi ya obama huko home ndio jina letu hilo kwa hiyo wewe kubali tu mbeba box