ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,385
- 8,648
Big up kama unakumbuka home, home ni home hata kama ni chini ya mbuyu, sisi tupo bhana kama wanatudharau waendelee tu kutudharau lakini Tanganyika hatuondoki ng'o, manake hapa ndo kwetu bhana
Ram mimi nabeba box lakini sidharau watu wa home tena nafagilia home sana tu