funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
Acha kumsagia kunguni Mkurugenzi Mkuu wa sasa ambaye ni kichwa kizuri chenye elimu kutoka vyuo vikuu vikubwa vya USAHii EWURA wamrudishe yule mkurugenzi aliyesimamishwaga na PM.Bwana Felix Ngamlagosi naimani atatusaidia Sana.Maana Mpaka sasa Toka aondoke imepwaya Sana.