Hivi kwanini Mwl. Nyerere hakupewa PhD?

Sio kweli Ritz
Mkuu soma hii kiduchu kutoka BBC kisha takuwekea zingine.

Dr Julius Nyerere, who has died aged 77, led the former British protectorate of Tanganyika to independence in 1961, becoming its first prime Minister and later its first president.His country was withdrawn from British rule without violence and with comparatively little racial bitterness. Dr Nyerere acquired in the process the reputation of being a moderate, an idea that was encouraged by his personal modesty and his preference for Western values.





Teh teh teh
 
Chanzo cha jk kupewa uprofesa china. Ni baada ya kusaini mikataba 21 kwa dakika moja. Bila hata kuipitia means alijua kilichomo. Rais wa uchina akasitaajabu uwezo wa jk fasta akampatia uprooo
hahaaaaa kuna ukweli hapo
 
Kasome "Nyerere of Tanzania" cha William Edgett Smith (The American edition is "We Must Run While They Walk") uone jinsi gani Julius Nyerere alivyokataa kuitwa Dr. na kuagiza kwamba aitwe Mwalimu au Ndugu.

Watu walishaanza kumuita Mama Maria "Lady Nyerere" naye akakataa pia.

Ukiangalia sana "Professor" ni Mwalimu, na Nyerere tayari tulikuwa tunamwita "Mwalimu Nyerere", kwa hiyo alikuja Kiswahili zaidi.
 
Acheni kujazana ujinga Nyerere wakati wa utawala wake walikuwa wanamuandika Dr.Julius Kambarage Nyerere na yeye alikubali wala hakukataa.

Mkuu waandishi wenyewe si kutoka Pwani? Ama umesahau? Ni yale yale!
 
Mkuu waandishi wenyewe si kutoka Pwani? Ama umesahau? Ni yale yale!
Mkuu huyo mwandishi aliondika hiyo habari alikuwa anamuita Nyerere Dr ni James Robbins wa BBC.

Sijui kama anatoka pwani labda Pwani ya Bristol Uingereza.

Nadhani umejifunza kitu.
 
Naona makamanda mmekimbia uzi wenu.

Teh teh teh
 
Nyerere alikuwa na msururu wa majina aliyokuwa akiitwa sana, kama vile mchonga, haambiliki, kifimbo...

Majina hayo yalitokana na hali ya kiuchumi na kisiasa ya wakati wake.
 

usiisahau hii tafadhali.
21. vatican.. kumpa heshima ya mwenye heri na mtakatifu
 
Kwanini mwalimu nyerere akupewa heshima ya profesa? Inamaana jakaya ni rais bora kuliko nyerere?
Nyerere alikuwa haitaji uprofesa. Kikwete ana tabia za kuomba omba. Huenda pia ameomba hizo sifa.
 
Nyerere alikuwa na msururu wa majina aliyokuwa akiitwa sana, kama vile mchonga, haambiliki, kifimbo...

Majina hayo yalitokana na hali ya kiuchumi na kisiasa ya wakati wake.
Na wewe nadhani una akili timamu tu. Unaweza kutofautisha kati ya mjinga na mpumbavu?
 
Kiranga,
Thank you. You are always there at the right time. Kamwelimishe Ritz anajaribu kupotosha hapa.
 
Inawezekana umri wenu ni mdogo Nyerere mbona alikuwa anaandikwa Prof wakati wa utawala wake.
Hapana. Kasome tena bandiko la Kiranga. Nyerere hajawahi kuitwa profesa hata siku moja. Daima tulikuwa tunamwita Mwalimu. Msijaribu kuandika upya historia wakati sisi tuliokuwepo bado tupo.
 
Chanzo cha jk kupewa uprofesa china. Ni baada ya kusaini mikataba 21 kwa dakika moja. Bila hata kuipitia means alijua kilichomo. Rais wa uchina akasitaajabu uwezo wa jk fasta akampatia uprooo

Nimecheka sana
 
Sio kweli Ritz
Ritz anajaribu kuandika historia upya. Lakini hawawezi. Wamejaribu kuua legacy ya Mwalimu leo inawasuta. Wametafuta vyeo kila mahali duniani eti Dr. eti Profesa, eti mheshimiwa lakini bado hawafikii level ya Mwalimu. Kikwete will go down in history as the worst president Tanzania ever had. It is sad.
 
Angepata ndugu yangu Wa msoga zingeandikwa mpaka kwenye majabali

Katika maisha yangu hadi sasa kitu kimojawapo ambacho kimenishangaza sana ni kuona watu wasiostaili vyeo au sifa, kujipachika sifa hizo, wakati wanaostaili wakiwa wamekaa kimya bila kuvikurupukia.
 
Pamoja na kwamba hakuwa akiitwa sana "Professor" Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilimtunuku Uprofessor wa Siasa (Professor of Political Science), ieleweke siyo Honorary Professor bali ni the real Professorial title ya kitaaluma.

Kama huamini, fanya research Chuo Kikuu cha DSM
 
Ritz

Huyo mwandisho amemwita Dr. Nyerere akiwa anatoa wasifu wa mwalimu tayari akiwa ni marehemu. Hakumwita katika uhai wake. Hivyo sioni bado mantiki ya hoja yako.

Kikwete Dr. Imelazimishwa na inner circle ya ccm kuwa ni lazima jina lake liane na utambuisho wa Dkt. Ili aonekane ni msomi wa level hiyo. Lkn pia udaktari wake ulitengenezwa kisiasa ndio maana alienda kupewa Udom chuo ambacho kilikuwa hakijatoa hata phd moja ya darasani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…