kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Mnahangaika na watu wanafuata maagizo ya mganga ,natena alishakufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walianza kwny Logo ya Vodacom hao..Sijuhi wanapungukiwa na nini hii timu ndio maana siipendi..Inachangia kurudisha maendeleo ya soka..Hizo ndiyo akiri zao zinavyowatuma viongozi wa mbute mbute fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app