Hivi kwanini klabu ya Yanga inashindwa kuheshimu logo za klabu nyingine?

Yanga inafuata katiba yake iliyokuwepo toka enzi za mkoloni? Unajua kwa nini yanga ilipiga marufuku g rangi nyekundu? sababu ni kwamba enzi za mkoloni wakati yanga inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, klabu ya simba ikiitwa sunderland walikuwa mstar wa mbele kushirikiana na mkoloni kuwapinga waafrika waliokuwa wanapigania uhuru, simba walikuwa wasaliti na ndio sabab ya rangi nyekundu kupigwa marufuku.
 
Dah hili la logo uongozi wa Yanga imetuabisha kwakweli sijaona matinki ya kushindwa kuwawekea logo halisi ya timu pinzani inayoenda kupambano nazo.

Ni moja ya mambo ya kiswahili sana uongozi unafanya kwenye hili. Inabidi huyo mtaalam wa uendeshaji wa timu kisasa aliyeletwa aanze na kuwabadilisha viongozi kwanza kutoka kwenye fikra za kijinga na kipumbavu kama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga inafuata katiba yake iliyokuwepo toka enzi za mkoloni? unajua kwa nini yanga ilipiga marufuku g rangi nyekundu? sababu ni kwamba enzi za mkoloni wakati yanga inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, klabu ya simba ikiitwa sunderland walikuwa mstar wa mbele kushirikiana na mkoloni kuwapinga waafrika waliokuwa wanapigania uhuru, simba walikuwa wasaliti na ndio sabab ya rangi nyekundu kupigwa marufuku.
Katiba ya kuvunja na kuharibu Logo halisi ya timu ndo unaitetea.

Halafu unasema Yanga ilipiga marufuku rangi nyekundu, sasa Ruvu Shooting na Mbeya City wanatumia nyekundu?
 
Yanga wana mambo ya kizamani sana simba kusema kweli tunajitahidi hata kuna baadhi ya jezi ya kipa wetu ilikuwa ina unjano lakini ikawa kawaida. Itachukua muda kwa yanga kubadilika kuwa na akili maana hata rangi tu.
 
Nmecheka kuona povu linawatoka Yanga Yanga Yanga. Kuna wapuuzi wameenda mbali zaidi eti siipendi Yanga sasa usipoipenda ww mjinga nn kinapungua?
Jitu jinga lipuuzi tu eti siipendi Yanga kwan wao wanakupenda? Achen ushamba wa kujiona ww bora kwa kisichokuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutetea ujinga. Kilichofanywa na timu lenu kuanzia kuikataa logo nyekundu ya vodacom na sasa kubadili logo ya timu nyingine ni ujinga sana kwa dunia ya sasa.
 
Yanga inafuata katiba yake iliyokuwepo toka enzi za mkoloni? unajua kwa nini yanga ilipiga marufuku g rangi nyekundu? sababu ni kwamba enzi za mkoloni wakati yanga inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, klabu ya simba ikiitwa sunderland walikuwa mstar wa mbele kushirikiana na mkoloni kuwapinga waafrika waliokuwa wanapigania uhuru, simba walikuwa wasaliti na ndio sabab ya rangi nyekundu kupigwa marufuku.
Yanga ni chura hakuna kingine,kwaiyo wao ndio walio dai Uhuru kuliko Nyerere ? Mbona hakupinga hio rangi ya wakoloni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu anayelalamikia logo ni mkia.Yani mkia logo ya Mbeya city inakuuma wakati wenye Mbeya city wako kimya.Unadhani wewe mkia unaakili kuliko timu zote za ligi kuu Kiroporopo wa mikia Manara?

Suala la Logo sioni shida kwa sababu logo zinabadilika.Kaangalie logo ya man u ya msimu uliopita na msimu huu kama rangi ya logo ni moja?mbona ya saiz imewekewa rangi nyeusi mpauko?

Kama kweli hiyo inakuuma basi jaribu kufanya utafiti hata kwenye sheria kama kuna sheria ya kuwaadhibu Yanga.Mambo ya rangi haijalishi ndo maana Vodacom alikubali kubadilisha rangi.

Uneducated liars hao.
 
Naamini Yanga ina viongozi weledi tena wasomi kwa hili walirekebishe mapema maana kama hawataki rangi nyekundu basi wasiwe wanatumia kabisa noti ya elfu kumi (10,000) ambayo ina rangi myekundu inayotumiwa na timu ya Simba.

Kuna watu wanalichukulia suala la logo kama kitu kidogo. Kiukweli logo ni utambulisho wa tasisi fulani na kila taasisi inakuwa imechagua rangi kwa sababu maalum. Kwa hiyo unapobadilisha rangi (corporate colour) kwenye logo ya taasisi husika bila ridhaa yao unakuwa haujaitendea haki hiyo taasisi.

Hebu tuweke ushabiki pembeni kwenye mambo ya msingi, hivi kweli siku ambayo Simba watacheza na Yanga uwanja wa taifa na Simba akawa mwenyeji halafu kwenye matangazo akaweka Simba VS Yanga halafu logo ya Yanga ikawa ipo kwenye rangi nyekundu je Yanga watakubali? Je nchi itakalika? Vipi Yanga wakienda Mbeya kucheza na Mbeya City halafu kwenye matangazo Mbeya City wakaiweka logo ya Yanga kwa rangi nyekundu je Yanga watakaa kimya au watakimbilia TFF? Usichopenda kutendewa usimtendee mwingine maana siku akikutendea utaona unaonewa.

Viongozi wa Yanga hili lipo chini ya uwezo wenu limalizeni mara moja maisha yaendelee kwani watu wanawatazama nyinyi na wala hawatizamwa hawa mashabiki wanaoliunga mkono hapa jamvini.
 
Viongozi wa Vyura FC hawajaelimika wakiungwa mkono na Mashabiki wao majuha ambao hata mambo ya kipumbavu wao huyatetea hata ukichunguza sababu iliyowafanya waikatae logo ya Vodacom yenye rangi nyekundu ni sababu ya kijinga Kabisa wao wanachokijua ni kulalamika tu. Hata hili watasema wanahujumiwa na Ghazwat akishirikiana na TFF. MAJUHA FC. au Vyura FC 🐸
 
Cha ajabu anayelalamikia logo ni mkia.Yani mkia logo ya Mbeya city inakuuma wakati wenye Mbeya city wako kimya.Unadhani wewe mkia unaakili kuliko timu zote za ligi kuu Kiroporopo wa mikia Manara?

Suala la Logo sioni shida kwa sababu logo zinabadilika.Kaangalie logo ya man u ya msimu uliopita na msimu huu kama rangi ya logo ni moja?mbona ya saiz imewekewa rangi nyeusi mpauko?

Kama kweli hiyo inakuuma basi jaribu kufanya utafiti hata kwenye sheria kama kuna sheria ya kuwaadhibu Yanga.Mambo ya rangi haijalishi ndo maana Vodacom alikubali kubadilisha rangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Logo inabadilika? Kweli wewe ni chura halisi, Logo inaingia Kwenye katiba uwezi kubadilisha Logo kienyeji hivyo, kila kitu kilichopo Kwenye Logo kinawekwa tafsiri Kwenye katiba.

Lete hiyo Logo ya man u ya mwaka jana na mwaka huu ili uwe na ushahidi wa hoja yako. Huwezi kubadilisha Logo ya taasisi iliyosajiliwa kienyeji hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu anayelalamikia logo ni mkia.Yani mkia logo ya Mbeya city inakuuma wakati wenye Mbeya city wako kimya.Unadhani wewe mkia unaakili kuliko timu zote za ligi kuu Kiroporopo wa mikia Manara?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila mmoja ana nafasi yake katika kuelezea jambo, kuna wakati lazima tusimame kama wadau wa soka kwa maslahi mapana ya soka hata kama tuna Usimba na Uyanga.

Kutolalamika kwao City si kigezo cha wewe kufanya uharibifu..Tafakari!
 
Suala la Logo sioni shida kwa sababu logo zinabadilika.Kaangalie logo ya man u ya msimu uliopita na msimu huu kama rangi ya logo ni moja?mbona ya saiz imewekewa rangi nyeusi mpauko?

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani wewe uko mbali na tunachozungumza, hatujadili timu yenyewe kubadilisha logo.

Tunasema kuhusu timu kama Azam FC kuiboresha logo ya timu nyingine kama Ndanda FC, lete page Official tuone kama kuna timu inaweza kufanya huo ujinga ambao umekuvaa kichwani..!

Angalia picha hapo, mbona ngumu kuelewa.

IMG_20200214_112745_678.jpeg
IMG_20200214_113127_012.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Similar Discussions

Back
Top Bottom