Hivi kwanini kila ninachokifanya mke wangu haridhiki?

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
9,030
2,000
umenielewa vizuri sana. na tanesco weshafanya yao kwa hiyo usiku mwema, na kutakia amani iendelee kwenye ndoa yako hata ukifulia. hiyo security yako unayosema ni ya kisaikolojia zaidi. kesho ni ya manyani kaka.
Yes I know, but as long as inanipa furaha na amani ktk maisha naona poa tu, si unajua furaha ni sychological mkuu. Hahaa eti kesho ni ya manyani, umenichekesha!! ila hayo maneno tu dadaangu hata kwenye khanga yapo, ukweli kesho ni yetu sote ilimradi uzima tu.
Haya asante, usiku mwema na wewe
 
NANDERA

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
2,029

sawa ila ujue maneno ya kwenye kanga yaliandikwa na wanadamu kutokana na ikspriens! good night oo
 
mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
9,030
2,000
ah bwana we! acha nikalale mie. Kamusi zetu za neno ubinafsi ziko tofauti. mi nikificha mali zangu kwa sababu siamini uwakili wako au kwa kuhofia usalama wangu na wanangu baada ya wewe kurudisha namba au kunibwaga ni ubinafsi???? kwangu mimi ni tahadhari au woga.
Si tahadhari wala woga, ni ubinafsi sema tu unakwepa bure. Nikirudisha namba mbona sheria za mirathi ziko wazi, nikikukubwaga mbona mambo ni pasu kwa pasu siku hizi, sheria ziko wazi!!

Haya ulale salama mkuu, ila msitufichie mali tungali mwili mmoja bana. Na nyie mkirudisha namba ghafla (watoto wangali wadogo hujawaonyesha) pesa na mali huliwa na wajanja bure, kisa ulimficha mumeo.

Haya was good to share these with you though
 
Injili ya Gheto

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,825
2,000
Trusting a women apart of you're mother is like trusting a disability dog, no movement no chasing.. pole mkubwa, sometime is better to be alone than being in bad company, be you're self stand by you're own foot if possible just leave her alone and prove than you can survive without her present.
 
Mis powers

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
2,317
2,000
Filisika ujue tabia ya mkeo.. waliosema hvyo hawakukosea! na huyo rafik mtu usiende nae haraka sana, endelea kumchunguza taratbu maana uckute anafanya hvyo kisa anajua una matatzo na mkeo..
 
Heaven Sent

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
21,007
2,000
Trusting a women apart of you're mother is like trusting a disability dog, no movement no chasing.. pole mkubwa, sometime is better to be alone than being in bad company, be you're self stand by you're own foot if possible just leave her alone and prove than you can survive without her present.
Seriously?? Why cursing us? Kuna watu pia ukiwatajia tu mama zao anaweza kukukimbiza na panga, anabaki tu kumuheshimu kwa sababu ndiye aliyemleta duniani na kumlea. Na kuna watu wake zao ndo kama mama zao. Ubaya/ uzuri wa mtu mmoja usikufanye ukaconclude kwamba watu wote wa aina fulani ni wazuri/ wabaya. Hivi ni kweli kwamba wanawake wote ni laana kwenye ndoa zao? Hapana

"No man succeeds without a good woman behind him., Mother or wife. But if it is both.. then he is twice blessed indeed."
 
Bwai

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
724
500

Unaweza kuwa mwanamke mzuri wewe but most of you huwa ni vigumu Sana kumsuport mme hasa anapokuwa kwenye matatizo
 
Bwai

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
724
500
Hizi ndoa jamani! Mbona mnatutisha, umri umefika lakini na wasiwasi na niliyenaye,naogopa hata watoto wataishi maisha ya shida.
 
Ledwin

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
225
195
Pole hakuna jaribu lisilokuwa na mango wa kitoka.Muombe Mungu sana kwa uaminifu.ACHANA NA HUYO SHEMEJI KABISA HANA NIA NZURI EMBU FUNGUKA .KAMA ANGEKUWA NA NIA NZURI ANGEMWELEKEZA RAFIKI YAKE AFANYE YALIYO MEMA.HALAFU AMEFIWA NA MUME SI NDIYO KWAHIYO..?embu Muombe make wako sana.Hata wewe una makos a engine hujijui.
 
Heaven Sent

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
21,007
2,000
Unaweza kuwa mwanamke mzuri wewe but most of you huwa ni vigumu Sana kumsuport mme hasa anapokuwa kwenye matatizo
Wenye matatizo wapo na wema wapo pia. Ingawa siku zote wema hauvumi sana kama ubaya unavyovuma. It's too much kwa jinsi wanawake tunavyochukuliwa, as is hatuna jema hata moja. Mbona wanaume wengi na nyie mkipataga hela kidogo tu akili zinachanganyikiwa hadi kuona wake zenu takataka? Ila akifanya mwanamke basi inakuwa wanawake wote ni wapumbavu. Not Rait kwa kweli, hata Mungu hapendi looh
 
Injili ya Gheto

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,825
2,000
Heaven Sent sijaimaliza bt hapo hapo inajitosheleza, kama ulivosema awali kua kuna watu wengine ukiwatajia mama yao wanatamani ata kushika panga it means akuna contribution ya mother kwa mtu aliyepitia situation hiyo sasa take short example mtu uyo uyo anaetamani kushika panga baada ya kusikia neno mama, anapata mke kama huyu shemeji yetu kwa mtoa post, hapo pia contribution ya mwanamke hakuna, mwisho wa siku mwanaume huyu akitusua maisha utasema hakuna succeeded man bila mwanamke??
 
Last edited by a moderator:

Sawa kwa case yako upo ok. But kusema kwamba wanawake wote hawafai kwenye ndoa Mmh hapana.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom