Hivi kwanini kila ninachokifanya mke wangu haridhiki?

Hongera sana, kwa yote. Tune yourself to another life. Hao viumbe ni balaa. Mpe nafasi ajitawale na mambo yake. Mambo ya kupita. Yakipita atakuta imesha maliza kazi.
Hajui kuwa maisha ni mafupi sana. Kama 10yrs only. Baada ya hapo ni endless responsibility. Andaa good life baba. Atakuwa mpangaji ndani ya nyumba yake for ever.
✊✊✊🏥🏥🏭🏭🚌🚌
Piga kazi utajenga magorofa, utafungua viwanda na uta miliki mabasi na malori.
Naamini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom