mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,513
- 10,404
umenielewa vizuri sana. na tanesco weshafanya yao kwa hiyo usiku mwema, na kutakia amani iendelee kwenye ndoa yako hata ukifulia. hiyo security yako unayosema ni ya kisaikolojia zaidi. kesho ni ya manyani kaka.
Yes I know, but as long as inanipa furaha na amani ktk maisha naona poa tu, si unajua furaha ni sychological mkuu. Hahaa eti kesho ni ya manyani, umenichekesha!! ila hayo maneno tu dadaangu hata kwenye khanga yapo, ukweli kesho ni yetu sote ilimradi uzima tu.
Haya asante, usiku mwema na wewe